Sasa ni zamu ya Chenge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa ni zamu ya Chenge!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipindupindu, Oct 25, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  baada ya wahusika wote wa sakata la uvuaji gamba kuzungumza,kuna taarifa zisizo rasmi kwamba mzee wa bariadi Andrew chenge anajiaandaa kutoa dukuduku lake hivi karibuni.
   
 2. O

  OSCAR ELIA Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wanaccm tunataka utekelezaji kama alivyofanya rostam ,huu sio wakati wa ngojela wananachi tuna matatizo ya ugumu wa maisha viongozi wetu timizeni wajibu wenu.
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  rostam hakujiuzulu kama gamba aliamua kuachana na siasa uchwara!hakuna gamba lililokubali kuchukua hatua!
   
 4. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ...................unafiki huu ndani ya CCM!!!! Singo imebaki gamba, gamba, gamba!!!!!!!!!
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  naona gamba litatoka na vipande vya nyama
   
 6. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Who told you?
   
 7. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mbona jazba?hebu tuthibitishie au kukanusha hii taarifa!
   
 8. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Huo ndio kasi mpya ya ccm, akishajivua gamba yeye atakuwa mgeni Rasmi ktk ufunguzi wa kampeni za ccm kule baridi maana bila yeye kura hazitatosha - is this not the comedy?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  madukuduku yasiyo na dukuduku ni upumbavu mtupu

  Sie tunakesha watu wako down under wanakata viuno kwenye ma-pabu na kasino
   
Loading...