Mambo ya NAPE

Nape wewe ni nani nchi hii mpaka uende kwenye media na kutangaza kutaka kufukuza watu kama watu hawa unadai ni wala rushwa wafikishe mahakamani ?? Na pia serikali haiendeshwi kwa mujibu wa kanuni za chama, serikali na viongozi wake inaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi kama unao ushahidi wafikishe mahakamni wachukuliwe hatua. Acha kuwapotezea watu muda wao kwa kauli na porojo zako za kisanii za kila siku.
 
Kama hujajua mpaka leo, subiri sku ya mwisho ifike
 
hivi hayo maamuzi magumu yataisha lini,nimechoka kusiki kiku kama hii.
 
Whos is Nape?
The Nape is the back of the neck. In technical anatomical/medical terminology, the Nape is referred to by the word nucha, which also gives the adjective corresponding to "Nape" in English, "nuchal" (Wikipedia)
 
maamuzi mazito yeopi au ya KUSAPOTI DOWAINZI ka sio hivo basi KUMPISHA RA IKULU af mkulu arudi mikocheni
 
NAPE:Kikao kijacho CCM kuja na maamuzi mazito. - YouTube!

mwambienieni NAPE ajue hiyo CCM ina walakini!

kule kwetu ukienda kula wali kwenye arobaini ya marehemu usiemjua unakufa wewe hasa ukifika eneo la arobaini halafu ukaona hamna hata mtu mmoja unaefahamiana nae yupo hapo basi ujue siku zako zimetimia utakufa tu cha kuwaambia ndugu zako kwamba unataka ufe tarehe ngapi nani arithi nini kama unacho,sasa huyu bwana mdogo nadhani hajui kwamba chama chake kina walakini magamba wanaweza wasitoke akaanza kutoka yeye maana chama hicho kina ishi kwa mfumowa magamba yeye nadhani hajui hilo watamvua yeye sasa hao.
 
Nape wewe ni nani nchi hii mpaka uende kwenye media na kutangaza kutaka kufukuza watu kama watu hawa unadai ni wala rushwa wafikishe mahakamani ?? Na pia serikali haiendeshwi kwa mujibu wa kanuni za chama, serikali na viongozi wake inaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi kama unao ushahidi wafikishe mahakamni wachukuliwe hatua. Acha kuwapotezea watu muda wao kwa kauli na porojo zako za kisanii za kila siku.
Haah, hujui!!!!! ni vuvuzela la mukulu, labda limetumwa liseme hivyo na lenyewe kwa uvivu wa kufikiri ama kufikiri kwa bidii lakini Kimasaburi type linafyatuka buuuu!!! buuuuuuu!!!! buuuuuuu!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom