Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuona maelezo yako kuhusu sababu ya kushindwa hapo chini; nimeona ni vyema na mimi nikaelimishwa sababu huenda na mimi sielewi kama hao wananchi wengine.., Ninachojifunza zaidi ni kuwa...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
• ADAI AMECHOSHWA NA KUNYANYASWA WAPIGA KURA WAKE na Mustapha Kapalata, Nzega MBUNGE wa jimbo la Nzega Dk. Hamis Andrea Kigwangalla (CCM), ametishia kujiuzulu ubunge endapo serikali ya...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimejaribu kumfuatilia huyu mbunge toka hajawa mbunge kweli nathubutu kusema nawapongeza wana ubungo kwa kuchagua mbunge makini na mpambanaji
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hebu wasikie CCM wanavyoendekeza utani. Baada ya vigogo kama Kikwete, Mukama, Kingunge kushindwa kuleta muafaka kati ya makundi yanayohasimiana ccm, sasa Wassira naye kachukua jukumu la kuleta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi kama mwanachama wa kawaida wa CDM, siingii katika vikao vya juu vya chama, hivyo naamini ni sahihi nikitumia jukwaa letu hili pendwa kufikisha ujumbe kwa viongozi wangu. Dr. Slaa, tunatambua...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
mwenye info zaidi amwage.. anaumwa nini???????? ---------- UPDATES: Taarifa toka hospitali zinadai anaendelea kuchekiwa, kichwa ndicho kinamsumbua na ana 'bacterial infection'
0 Reactions
96 Replies
12K Views
Mkiti wa Taifa wa Chadema, Mbunge wa Hai, na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ameibomoa ccm kwa kufungua shina la wakereketwa wa Chadema wilayani hai karibu na nyumbani kwa mkiti wa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
OJUKWU's SPEECH THE BIAFRANS DURRING THE NIGERIAN BIAFRA WAR pt.2 - YouTube
0 Reactions
0 Replies
815 Views
All ccm assets earned before 1992 must be returned to the Government via NHC, BMT and/or local Governments. It has to be this way because the assets were erected from Tanzanian Taxpayers' Money...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza nianze kukupa pole kwa maradhi Kama ujuavyo, Chadema ndio chama kikuu cha upinzani bungeni na ndio kimetoa mawaziri vivuli. Wewe ni waziri kivuli wa wizara ya fedha na pamoja na mapambano...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nape asema waliokiuka maadili ya CCM kukiona,kikao kijacho tutatoa maamuzi mazito SOURCE:BLOG YA ISSA MICHUZI NA YOUTUBE.
0 Reactions
82 Replies
7K Views
Kwa kusema ukweli hii ni aibu kubwa nchi kutimiza miaka hamsini ya uhuru huku wananchi wake wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.mbunge wa kwela nae kathubutu kumkoromea diwani na kusema miaka 5...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KWANINI WAFUASI WA CHADEMA WANKUNJA NGUMI? hII NI KUASHILIA WANATAKA KWENDA VITANI??
0 Reactions
143 Replies
18K Views
Pichani Dr .wa kweli aliye enda shule sio ya kupewa akiwa amepozi na madaktari waliomtibu wa Hospitali aliyolazwa
16 Reactions
93 Replies
11K Views
nikiwa katika hali ya wasi wasi ya kauli mbiu ya kilimo kwanza na kilimo ni uti wa mgongo naaishangaa nchi kama tanzania kuona inashupalia watu kuuza mazao nje ya nchi kama kenya na uganda, hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba walio karibu na wenye taharifa za Dr.Mwakyembe watujuze baada ya kufika India na kupatiwa matibabu tunaambiwa anaendelea vizuri hapa jamvini,shida yangu leo ni.. Je,baada ya kuwa adimitted...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali inadai kuwa tarehe 9 Dec kutakuwa na maadhimisho ya 50 ya uhuru wa Tanzania, Maswal yenye utata ni haya: 1:Je Tanzania ilitawaliwa na nani before huo uhuru? 2:Je Tanzania ilipata lini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sherehe zote zinazohusu Zenji Rais wa zenji ndo anakuwa mgeni rasmi kwasababu ndiye mwenye nchi ile, sina shida na hilo. Shida yangu ni kwamba uhuru tutakao sherekea si wa JMT bali ni wa bara tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mwalimu alikuwa na vision kubwa sana na nchi hii na kauli za kuhamasisha wakati ule ziliendana na vitendo but unfortunately kwa sasa misemao au kauli kama hizi si rahisi kutekelezeka kwani...
7 Reactions
87 Replies
10K Views
Jamani nisaidieni kupata maana kamili ya neno UPINZANI. Kwa hapa TZ,Mimi sio CCM , nipo upande wa upinzani na napenda CDM. Sijapata kusikia vizuri kwa undani zaidi sera za CDM lakini kwa hali...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…