Ndugu Julius Mtatiro: Naomba kuelimishwa..!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu Julius Mtatiro: Naomba kuelimishwa..!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VoiceOfReason, Oct 4, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuona maelezo yako kuhusu sababu ya kushindwa hapo chini; nimeona ni vyema na mimi nikaelimishwa sababu huenda na mimi sielewi kama hao wananchi wengine..,

  Hivyo basi mwanajamvi mwenzangu ukweli huo ni upi kuhusu hizi so called propaganda..?

  Je ni kweli kwamba wananchi hawaelewi kilichotokea au hawapendi kilichotokea na kwamba mlifanya kosa Zanzibar ?
  Na nyie kama Chama Cha Upinzani, wapinzani wenu wakubwa ni CCM au CHADEMA au ni wote..?

  Je huoni kwamba itakuwa bora kama mkiungana na vyama vya upinzani au wewe kama kweli unapenda mageuzi ukihama Chama ambacho kwa sasa bara kimepoteza mvuto na kwenda chama cha upinzani chenye nguvu (hata ukagombea Ubunge..) ili uweze kweli kuwatumikia wananchi..?

  Na hizi siasa za majitaka mlivyotumia muda mwingi kuwa-attack wapinzani wenzenu huoni kwamba mlipoteza muda ambao ulikuwa kidogo kuelezea ni nini mtafanya..?

  Na unavyosema huwezi kuhama CUF hata iweje.., Je siasa imekuwa kama ushabiki wa mpira yaani mimi ni CUF damu na sio kuona ni platform ipi naweza kuwasaidia wananchi vema (na kwa upepo wa sasa ni kwamba kupitia CUF bara ni vigumu sana)..?

  Je CUF mnavyotumia muda kuwapiga CHADEMA huoni kwamba mnawanufaisha CCM..?

  Ni hayo tu mkuu ningeweza kukuuliza kwenye post yako uliyotoa ila trend inaonekana hujibu maswali na ningeweza nikaku-PM lakini nimeona bora na wale wananchi wengine ambao hawaelewi na wanaamini propaganda wangekosa hii elimu.. (Pia kama kuna mwana-CUF ambae anaelewa ukweli ni upi tashukuru kuelimishwa...)

  Natanguliza Shukrani
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huyu bwana atafute shughuli nyingine ya kufanya just wasting his time
   
 3. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  CHADEMA wasimpokee mtu wa namna hii kabisa, labda ajiunge na tlp ya mrema
   
 4. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shirika la ndege ni la Uganda. Mseveni baada ya kutia timu bongo, yawezekana mojawapo ya mambo aliyokujanayo ilikuwa ni kuweka sawa sakata hilo baada ya siri kuvuja kuwa CCM wamewahonga CUF chopa. Kunatetesi kwamba baada ya Mseveni kurejea Uganda, JK alitia timu Igunga yawezekana alikwenda kuokoa jahazi la CUF kwa hizo document za kubumba. Kazi kweli kweli. NOT YET UHURU.
   
 5. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  @Red, CCM SIO MAMA YANGU - JULIUS NYERERE.
  Mwalimu aliona mbali akatamka maneno hayo hapo juu. Nashangzwa na Mwanasiasa kijana kama Mtatiro kutamka maneno kama hayo @ red.
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  bravooooooooooooooooooooooooo! beneeeeeeeeeeeeee!
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa mambo ya kuleta ushabiki wa vilabu vya mipira kwenye issue muhimu za nchi yamepitwa na wakati...;

  Chama kikichemsha... PIGA CHINI..., hapa hakipendwi CHAMA bali maendeleo na upinzani ukiwa mkubwa ni kuwapa watu miaka mitano tu.., wakichemsha PIGA CHINI leta wengine...!!
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama Mtatiro atarudi hapa kujibu.
  Mtanisamehe kama nitakuwa nimesema uongo maana shughuli zake hapa JF kazianza mwezi wa September mwaka huu!(2011), na isitoshe mpaka anaweka taarifa yake ile kwa vyambo vya umma alikuwa na post 4 tu. Sidhani kama baada ya kuweka ning'inizo lake lile alirudi kujibu maswali kama tunavyoona wanasiasa wengine wakifanya.
  Nadhani ni uoga wa ku-face umma moja kwa moja. Amezoea kuhutubia na si kujibu hoja mbele yao. Aliwahi kuonekana akijibu hoja moja kwa moja wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana wakati akigombea ubunge jimbo la Ubungo na nadhani baada ya hapo anajua kasimama kwenye kuti bovu.
  Yeye kama viongozi wenzake wengine ndani ya chama chao SISI ni M wanaingia katika orodha yangu ya watu wanaoiogopa JF. Msipoteze muda wenu kumuuliza maswali maana hayatajibiwa.
   
 9. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukweli cuf wamekosea sana kupambana na cdm, then kuungana na ccm hata kamani kwa manufaa ya ustawi wa zanzibar bado mlikuwa na nafasi nyenu ya kuitetea halaiki ya watanzania wanaokandamizwa na ccm lakini mkaamua ama kuwa kimya au kuungana na wakandamizaji. Jambo lingine ni kutokujua nini watanganyika wanataka kwa sasa na badala yake mnaendelea kuwaeleza wasichotaka kusikia SAUTI YA IGUNGA IMEWAKILISHA MAWAZO YA WATANGANYIKA JUU YA CHAMA CHA WANANCHI(cuf). Mtatiro anakosea musema hatahama cuf whatever, kwani hajui kuwa kwenye vyama hivi unaweza kuwa lulu na baadae kuwa taka, Angalia rMrema CCM then NCCR ended to TLP hata wewe yanaweze kukukuta utameza matapishi yako?
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na pia usin'ang'anie chama kama dini@jk nyerere
   
 11. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mtatiro aliingia CUF ili apate madaraka makubwa coz aliona Cuf ndio sehemu pekee anayoweza kupenyeza siasa zake za kuropoka ili aonekane mwenye msimamo mkali na hivyo apate madaraka makubwa..By the way madaraka ameyapata lakin chama ndo hivyo kinakufa..Maskini mtatiro tamaa ilimponza fisi.
   
 12. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du, watanzania mbona hivi!kijana ana maumivu ya uchaguzi then mnamwongea doz nyingine?
  Give him a break,najua somo amelielewa,ajifunze hata kwa mpendazoe CCM-CCJ-CHADEMA na still ana mvuto hakuna anaemhukumu kwa nini alihama CCJ, sababu chama kilikufa.Mtatiro ni mwelewa akili za masaburi-magamba atachanganya na zake
   
 13. j

  janja pwani Senior Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtatiro ni mwelewa ndio maana yupo CUF kwa sababu ameangalia vyama vingine ni vya UKOO na UKABILA ndio maana amekaa CUF na nafsi yake imeridhika.
   
 14. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yupo kule kwenye post yake ya helicopter.
  Ameweka documents zinajikanganya ile mbaya.
  Anashindwa kuzitetea, amebaki anachungulia tu...ametaitiwa ile mbaya!
   
 15. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yupo kule kwenye post yake ya helicopter.
  Ameweka documents zinajikanganya ile mbaya.
  Anashindwa kuzitetea, amebaki anachungulia tu...ametaitiwa ile mbaya!
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  umetoa mfano mzuri wa mpendazoe, labda kwa taarifa tu ni kwamba mpendazoe angehamia CUF angeonekana kama jalala kwa wapenzi wengi humu JF na nje ya JF! amehamia CDM sababu kaona CDM kina mvuto kwa watanzania wengi, huyu dogo mtatiro kaingia choo cha wanawake!
   
 17. k

  kimandolo Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtatiro kwishney
   
 18. P

  People JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni mwalimu mzuri tu!
   
 19. P

  People JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwehu on work!
   
 20. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Sisi CDM hatuhitaji msaada wa chama kisichokua na malengo yaliyowazi kisiasa, wala nia thabiti ya kuwatetea WaTanzania zaidi ya kutafuta madaraka na uongozi katika nchi yetu.
  CUF si chama makini, ingawa baadhi ya viongozi wake waweza kuwa makini...!
  na siku hao viongozi makini watakapogundua wanadanganywa na Kina SEIF watahama.
   
Loading...