Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwandishi wa Habari Idrissa Jabir ameandika kwenye gazeti la mwanahalisi haya yafuatayo' 1. Kuna mswada maalum kwa ajili ya mafao ya vigogo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar na...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Katika magazeti karibu yote leo 2/11/2011 yana habari nzito za serikali kudaiwa na makandarasi kiasi cha Tshs 425billion kwa miradi ambayo kimsingi ni "hewa". "Hewa" hii imetokana vipi? Hii hewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama ulidhani unachokisoma vitabuni kuhusu Mwanamapinduzi Martin Luther King Jr kilitokea hapa tu nchini Marekani basi ujue unajidanganya tena sana, hebu mwone huyo Mtetezi wa wanyonge hapo juu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau nisaidie pale busanda pamepoa sana wkt ndilo eneo linaloibukia kwa madini japo hawajaweka wazi.nipenda kumfahamu huyu mama
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kazi za kisiasa sharti zifanywe na wanasiasa. Polisi hata siku moja hawawezi kufanya kazi za kisiasa kwa ufanisi! ccm kama chama cha kisiasa kimewaachia polisi wakifanyie kazi zake za kisiasa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NEWS Kenya, Uganda and Tanzania currencies. Initial efforts by the East African Community to reach a common position on rolling out a single currency for the region have run into hurdles. File...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Wakuu, nawakilisha taarifa kuhusu utafiti uliofanyika kuhusiana na hali ya sekta ya afya nchini ktk eneo la upatikanaji wa madawa. Nimeambatanisha na attachment ya documents husika Taarifa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Rais ameagiza Lema atolewe gerezani mara moja (remove order) kwa dhamana ya ofisi ya rais ili kuepusha mgogoro na maafa yanayoweza kutokea huko Arusha. Chanzo sio cha kuaminika sana lakini kama...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
" I MAY BE WEARING A SMILE BUT IT COULD BE VERY EXCEPTIONAL, I'M FIRM ON ISSUES, NASEMA NINA MSIMAMO KWENYE MASUALA YA MSINGI" Haya ni maneo ambayo aliyatumia Mhe Rais wetu JK mwaka 2005 Desemba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In parts of Tanzania, religious leaders are behind a shift in attitudes that could help to reduce HIV infection, improve maternal health and curb rapid population growth Zanzibar's population...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
425bn/- roads project debt still unpaid By The guardian reporter 2nd November 2011 Watchdog committee says work has stalled or slowed Committee chairman Peter Serukamba Failure by...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa muda nimeliwaza hili nimeona leo niliongelee. Binafsi huwa nashangaa serikali yetu kung'ang'ania vyanzo vilevile vya mapato miaka nenda miaka rudi. Kwa mfano utakuta kila mwaka hayo ma road...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Updates: Hali ya Arusha imeanza kubadilika ghafla, hakuna hiace hususani maeneo ya mjini. Awali ilionekana kama ingekuwa shwari. Hali ya usafiri asubuhi ilikuwa ni ya kawaida kama...
0 Reactions
115 Replies
10K Views
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 26 October 2011 BALOZI wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) ameshindwa kuthibitisha iwapo nchi yake imeomba majeshi kutoka Tanzania.Katika mahojiano na...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Sioni kama hili la leo lililofanywa na akina Mrema ni suluhu ya hilo tatizo au vipi, Kwa kifupi Mkurugenzi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kishapu ametia hasara serikali yetu sh billioni tatu ila...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hivi IGP Mwema,wema wake upo wapi kwa watanzania? kwanini asichukue uamuzi mwepesi wa kumfuta huyu Gamba aliyevaa magwanda ya kaki na yaliyowekwa nyota mabegani? Mzembe sana Zuzu beriberi eti OCD...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Na Agnes Mwaijega WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi.Sophia Simba, amewataka vijana kutegemea shughuli za ujasiriamali ili kujikomboa kiuchumi na kuondokana na umasikini badala ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kipindi cha Nyerere mfumo wa siasa ulikuwa ujamaa na kujitegemea tangu aondoke madarakani na duniani hali imegeuka na sasa tupo kwenye mfumo wa unyama na kujimegea je baada ya hapa mfumo gani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Today is a November 1st, it's an important and historical day to our loved nation. It was in this day, Gen Amin, and his Ugandan forces invaded Tanzania. The war between Tanzania and Uganda...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesoma kitabu cha Nelson Mandela cha ‘THE LONG WALK TO FREEDOM – Ni kitabu kikubwa kiasi. Tukio kubwa ktk kitabu hicho ni Mandela kukamatwa na polisi wa makaburu kwa tuhuma za...
14 Reactions
85 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…