Thinking wild: Tume ya Uchaguzi NEC - iratibu kuupigia kura Kilimanjaro kwenye Maajabu 7 ya Dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thinking wild: Tume ya Uchaguzi NEC - iratibu kuupigia kura Kilimanjaro kwenye Maajabu 7 ya Dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zed, Nov 8, 2011.

 1. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa umahiri wa NEC kuchakachua kura napendekeza, tume hii ikiongozwa na Makame Lewis na Kiravu iongoze kura za kuufanya mlima kili moja ya maajabu. Nadhali uzoefu wao wakuchakachua utatushindisha tu!
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pumba zingine bana.
   
 3. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ngwendu elewa sarcasm au kwa kiswahili "sanaa ya kijeli"!
   
 4. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  I will be the first to vote at any cost...........hahahaaa
   
 5. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Najua ni 'sanaa ya kejeli' lakini jina lako limekaa kama aina fulani ya pombe kali uku mtaani kwani unatumia?
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Hawachelewi kuchakachua hadi hizi!
   
 7. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Wakisimamia ushindi utakuwaepo hata wapiga kura wasipojitokeza, tena wa kishindo kuliko idadi ya wakazi wa dunia watakokuwepo miaka 5 ijayo!
   
Loading...