I thought Bunge Would Immediately Discuss the state of our Economy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I thought Bunge Would Immediately Discuss the state of our Economy

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gurudumu, Nov 8, 2011.

 1. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nilitazama Bunge asubuhi nikiwa na matarajio kwamba kila kitu kitawekwa pembeni lijadili kwanza hali ya uchumi wetu inayodorora siku hadi siku. Nilisikitishwa kuona kwamba wabunge wako busy wanauliza maswali ambayo ufumbuzi wake ni hadi uchumi wetu uwe umesimama imara. Waliuliza maswali mengi, kuhusu afya, ardhi, ahadi za rais, n.k. Ni maswali mazuri, lakini serikali haina pesa na uchumi umezama!

  Nilidhani kwa mwendo wa sasa wa uchumi wetu, Bunge lingejadili kwanza nini kinausibu na kuitaka serikali kuweka mambo sasa ikiwa ni kusimamisha matumizi ya hovyo hovyo na kuongeza ukusanyaji wa mapato kutoka kwenye maliasili kama madini, mbao, utalii na gesi

  Nilidhani Waziri wa Fedha na Gavana wa BoT wangeitwa Bungeni mara moja kuwaeleza wabunge nini kinatokea na tunaelekea wapi.

  Nimekata tamaa na utashi wa Bunge letu kwa ustawi wa Taifa letu
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  jioni kuna sherehe ya kumkaribisha dr kafumu na tuko bussy maandalizi
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kwamba inflation na economic crisis iwe state of emergency kwao, thubutu..? Kwani wamenyimwa posho, huo msoto wa ugumu wa maisha hauwahusu. Naskia eti wanawajibu CDM na wao wanakesha kwenye party ya kafumu...
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wako busy na kufuatilia allowance kama zimeongezwa si unakumbuka mwezi wa nane walitaka fungu liongezwe sasa ndio wamerudi kufuatilia kama limeongezwa au la na sherehe za kumwapisha mbunge mpya watarudi mwakani kujadili uchumi wa nchi hii.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  lile siyo bunge.

  ni genge la wala-posho.
   
 6. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Hivi Tanzania hakuna wasomi wa kuendesha hii nchi ipate kujitegemea?
  Mbona naona kila mtu analalamika tuu mpaka rais analalamika
  Mh Waziri mkuu mstaafu analalamika
  Mh Lowassa analalamika
  sasa nani atatutoa hapa tulipojikongoja mpaka tumefika kwa kudra za mwenyenzi
  mungu tuweze kwenda huko kwenye nchi ya maziwa na mikate iliyopakwa jibini?
  Maskini ya mungu watanzania tumebaki watoto yatima.......

  Nina mkakati wa kuchukua hatua ngumu sana ambayo sijawahi kuchukua tangu
  kuishi kwangu duniani.
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Wakikusikia hawakawii kukuundia tume ya kuchunguza ukiukwaji madaraka na haki za bunge ahaaa aaa.

   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  bunge lipi? hili la ccm -- forget !!!
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Itakuwa ni aibu kubwa kama kikao hiki cha bunge kitaisha bila wabunge (kwa umoja wao) kumtaka Waziri wa Fedha atoe maelezo ya kina juu ya mikakati aliyonayo ya kunusuru uchumi. Itakuwa aibu.
   
 10. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  chochote kinawezekana
   
 11. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ...au ajiuzulu kwa kufanya mzaha na uchumi wa nchi
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  unajua mk.were alimteua mkulo akidhani nssfni sawa na wizara ya fedha, matokeo yake ndiyo hayo, jamaa ameprove failure lakini anaona aibu kumtoa aende wapi ili hali ulaji wake kule nssf umeshakamatwa na mwingine? taabu kweli kweli!
   
Loading...