Wanaharakati wa Tanzania LHRC na NGOs na wengine amkeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati wa Tanzania LHRC na NGOs na wengine amkeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Aug 18, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Malawi mambo yameiva

  Tanzania mambo yameharibika mno afadhali ya Malawi.

  Wanaharakati wa Tanzania vipi, haki za binadamu ziko wapi wakati wananchi wanakufa njaa, familia zimesambaratika kwa kukosa ardhi??
  Ushahidi upo, waliohamishwa bonde la ihefu mnajua familia zao zikoje?? Bonde la kilwa huko manyara je, mgogoro jeee

  Wawekezaji kupewa ardhi bure na watanzania kuondolewa je

  Vigogo wa CCM kumiliki Ardhi jee

  Wanaharakati wa Malawi wamefanikiwa, je nyie wanaharakati wa Tanzania mmepewa kitu au mmepumbazwa???
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Katiba mpya na mfumuko wa bei?

  uchumi kudorora na shilingi kuporomoka

  ufisadi kushamiri na kuwa waziwazi

  Au mnawaogopa Al shabab?
   
 3. F

  FredKavishe Verified User

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanaharakati wa tz wamekalia matumbo njaa zisizo na maana sijaona mwanaharakati wa ukwel wote njaa tu'
   
Loading...