Viongozi wa CHADEMA Moshi

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Tungependa kuskia tamko ktk kwa viongozi wetu wa chama kuhusu kuunga mkono makamanda wenzetu wa Arusha juu sakata la mh. G.LEMA. Tuelezeni tunawaungaje wenzetu mkono? Tuandamane, tukeshe au tufanyaje? TUNAOMBA TAMKO.
 
Inabidi moshi muanze matembezi mkaawachukue arusha then ianze safari ya kuja dar mpaka magogoni tukafungue geti la mjengo wenyewe tuanze upya
 
vyama vya kiraia asasi za kiraia , vyama vya proffesionals where are you?wake up and stand for mother tanzania!
 
tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana ,tumevumilia vya kutosha sasa basi ndugu zangu vijana tuchukue hatua ya kuleta mapinduzi. nipo tayari kwa lolote tupeni mwongozo viongozi mliobaki!
 
Mkigoma hapo ndo mwisho wako wa kutukana au mwisho wako wa kufikiri?
Hivi wataalamu wa IT hakuna njia ya kutufanya tuonekane kila tunapo-post humu ndani,kama ilivyo kwenye skype?maana kuna wengine tungependa kuwaona hatuamini kile wanachokiandika,sasa huenda tunajadili na wendawazimu,sasa hali hii imeshaanza ku-boa sana.
 
Inabidi moshi muanze matembezi mkaawachukue arusha then ianze safari ya kuja dar mpaka magogoni tukafungue geti la mjengo wenyewe tuanze upya

suppose wananci wote tunaamua kufanya kazi kwa bidii, nchi hii haitakwenda! au tukiandamana ndo nchi inakwenda mbele? kama watu tunaamka asubuhi na kuwaza maandamano then nchi hii haiwezi kufika mahali. Looks like watu wengi tu wavivu wa kufikiri!! Unafikiri Lema atatupeleka wapi bwana?. Lema is the last person I would consider a politician!
 
Mkigoma hapo ndo mwisho wako wa kutukana au mwisho wako wa kufikiri?
Hivi wataalamu wa IT hakuna njia ya kutufanya tuonekane kila tunapo-post humu ndani,kama ilivyo kwenye skype?maana kuna wengine tungependa kuwaona hatuamini kile wanachokiandika,sasa huenda tunajadili na wendawazimu,sasa hali hii imeshaanza ku-boa sana.
hizo ndo faida za utawala wa Magamba
 
suppose wananci wote tunaamua kufanya kazi kwa bidii, nchi hii haitakwenda! au tukiandamana ndo nchi inakwenda mbele? kama watu tunaamka asubuhi na kuwaza maandamano then nchi hii haiwezi kufika mahali. Looks like watu wengi tu wavivu wa kufikiri!! Unafikiri Lema atatupeleka wapi bwana?. Lema is the last person I would consider a politician!
Hauna unachokifikiri kwani unatoka familia ya Kifisadi inayoilishwa na posho za Magamba
 
Ukitaka kuwaunga mkono nenda kituo cha polisi katukane mkuu wa kituo, wakikuweka ndani kataa dhamana
 
Unashangaza kidogo. If Lema is not a truly dedicated politician then the likes of Chenge. Rostam and a hundred others who are there kwa maslahi binafsi ndio unawaona politicians. Nadhani system iliyopo inakunufaisha..but anyway iko mwishoni hii..just watch
suppose wananci wote tunaamua kufanya kazi kwa bidii, nchi hii haitakwenda! au tukiandamana ndo nchi inakwenda mbele? kama watu tunaamka asubuhi na kuwaza maandamano then nchi hii haiwezi kufika mahali. Looks like watu wengi tu wavivu wa kufikiri!! Unafikiri Lema atatupeleka wapi bwana?. Lema is the last person I would consider a politician!
 
Hizo siasa za kitoto ziishie huko huko Arusha. Wakazi wa Mosh wapo makini na maisha. Hawapelekwi pelekwi hovyo.
 
Dr slaa jana kasema eti safari ina anzia hapa viwanja vya NMC kwenda ikulu! Safari imeyeyuka! Chadema imekua magumashi!
 
Back
Top Bottom