Agenda ya chadema baada ya uchaguzi mkuu wa mwka 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agenda ya chadema baada ya uchaguzi mkuu wa mwka 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 8, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Habari za kuaminika tika kwa mtu aliye karibu kabisa na SEKRETARIETI YA CHADEMA atoa siri kwamba , kumbe baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 walikubaliana kile walichokiita ILANI BAADA YA UCHAGUZI ikiwa ni njia mojawapo ya kuwapotosha Wananchi ili wawapigie kura mwaka 2015. Aidha kwa mujibu wa Kadha huyo wa CDM, walifikia uamuzi huo baada ya kufanya utafiti na kugundua kuwa Wananchi wanaamini kila lisemwalo na Viongozi wa Chama hicho hata kama halina ukweli wowote. Ilani inasema:

  1. Kuendesha migomo na Maandamano hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo;

  2. Kupotosha Maendeleo yanayofanywa na Serikali ikiwa ni pamoja na huduma za jamii, mfano Ujenzi wa Shule za Kata na Zahanati;

  3. Kuwapaka matope Makada wa Chama tawala wanaoonekana kuwa wasafi kwa vile wanaona wanaweza kuwawekea kauzibe katika Uchaguzi wa mwaka 2015 mfano, Maghufuli, Nape, Salim Ahamed Salim, Asha Rose Migiro, Anne Makinda, Benard Membe na wengine wengi;

  4. Kutumia muda mwingi kuvilaumu vyombo vya ulinzi hasa Jeshi la Polisi kwa kutumia maneno ya kashfa kama vile POLISI WAMEUA N.K;

  5. Kuwalipa vijana wenye utaalamu na matumizi ya mfumo wa Kompyuta ili waweze kupost kwenye mitandao ya kijamii zikiwemo blogs mbalimbali maneno yenye uongo, uchochezi na kukashfu viongozi ili Serikali ionekane kushindwa kufanya kazi;

  6. Kuwatumia Makada wa CCM wanaopinga ufisadi yaani SITTA, MWAKYEMBE, OLESENDEKA, KILANGO na wengine ili kufanya mashambulizi ya waziwazi kwa wale wanaotuhumiwa kwa UFISAD. Yaani wanatumia falsafa ya" DIVIDE AND RULE" ili kuwachonganisha;

  7. Kuwahonga Madiwani wa CCM ili kutoa siri za vikao ndani ya CCM;

  8. Kupata taarifa za mapema juu ya Miradi inayobuniwa na kutekelezwa na Serikali na kufanya mikutano ya hadhara katika maeneo husika na kuwapotosha wananchi kuwa wao ndiyo wamebuni miradi hiyo na siyo serikali;

  9. Kutumia taasisi zisizo za kiserikali kupitia wahisani toka nje kuendesha propaganda kwamba Tanzania haishimu haki za kibinadamu;

  10. Kuandaa midahalo kwa kupitia migongo itakayoendeshwa na makada wa Chama hicho kwa kupitia mgongo wa taasisi zisizo za kiserikali na kuwaalika watu wengi wakiwa wanazuoni wanaokiunga mkono CDM n.k

  Tutafakari hili jamani, mimi mwenyewe naweza kusema nimeshaanza kuona mbinu hizi chafu, nimesoma gazeti za juzi linasema MAFISADI WAMTEGA MAGHUFULI, siku nyingine niliingia katika tovuti ya U-tube nikakumbana na kitu ambacho kilinishangaza kidogo, Dr. SLAA anaongea na bwana mmoja wa ugaibuni eti alinyang'anywa shamba lake nchini . Dr anasema nchi yetu haifuati haki za binadamu na anamwahidi kuwa akiwa rais atahakikisha shamba lake linarudi.

  Ingia you-tube na search A REPRATRIATE'S PLIGHT ujionee .Huyo ndiye kila siku anapigia kelele uzawa?. Wafanya biashara wa kununua Pamba kule Tabora walishawishiwa na CDM wasinunue zao hilo kwa bei elekezi ya Serikali, Shule za kata na zahanati zinabezwa kila siku. Kumbe walishakubaliana hayo ili Nchi isitawalike.
   
 2. F

  FredKavishe Verified User

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kila mtu ana haki ya kuongea na kutoa maoni so sishangai ndo maoni yako inawauma sana cdm inavyokubalika
   
 3. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa umekaanga jiwe mkuu haliliki hata ukitia kitu gani! ww ndo mpotoshaji kabisa inawezekana ww ni Riz au Nape ambao kula yenu mpaka ujipendekeze kwa kutengeneza propaganda za kipuuzi kama hiyo.Kikubwa tunakupa pole Watanzania wanajua sasa hivi si kama zamani.
   
 4. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,994
  Likes Received: 3,743
  Trophy Points: 280
  taratibu basi kaka/dada....

  hata kama ni kutumwa, ndio iwe hivi? wenzio hatufanyagi hivo bana!
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  No research no data, no data no right to talk, you better keep quite rather than talking rubbish!!!
   
 6. k

  kiloni JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumbe uliongea na "KADHA WA CDM" siyo Kada wa CDM hivyo umetumwa na wale Mafisi mwitu wenzio mlioapa kuifilisi TZ. Na kila anayewapinga mnaunda mizengwe!!?? na kuua kwa sumu/ajali za kubambikia hata kama ni mmoja wenu mifano ipo mingi kuanzia na Kolimba na hao mliojaza India stuuupid!! nimezirai kwa mshtukoooooo!!!!!!!!!!!!
   
 7. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Kuna uumuhimu gani wa kurudia thread moja kila mara? Ndiyo mwongozo uliopewa nini?
   
 8. baina

  baina JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii post nashauri hisipewe michango, huyu ametumwa.
   
 9. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bei ya David Cameroun yako ni Shilingi ngapi?
   
 10. baina

  baina JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii post nashauri hisipewe michango, huyu ametumwa.
   
 11. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thatha, nani kakutuma kufanya siasa za maji taka? Pole sana! maana yaonyesha mtu mwenye akili timamu hawezi kuposti upupu huu, it is as if u were posting this at a gun point!
   
 12. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thatha nakubaliana na wewe kabisa unless haya mavuvuzela yanayopinga yaje na hoja. Otherwise you are wright. Inpendeza sana mtu kupinga kwa hoja. hapa ndo huwa nawaona wanachadema wengi wanafikiria kwa kutumia masaburi. You guys think through upstairs na mjibu hoja kwa hoja na si huu ujinga wenu mnaopost humu. Again, thatha you are wright as I said unless some one aje na vivid examples as you did.
   
 13. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  nGWENDU...HAPO KWENYE RED..CAN YOU COME AGAIN?
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Hawana jipya hawa achana nao.
   
 15. m

  mharakati JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  JF imekua chombo cha wanaCHADEMA badala ya ufuatiliaji wa kizalendo na uharakati zaidi.

  tunawalaumu CCM kuweka uchama mbele zaidi ya uzalendo wa kitaifa na vijana hapa mashabiki wa chadema wanajenga hicho hicho wasichokipenda kutoka upande mwingine, na mwananchi wa kawaida anabaki kudanganyika.

  vijana siasa za upofu upofu hazitufikishi popote, huyu Slaa atapata na hatokua tofauti kubwa na CCM na bado mtaendela kulilia na kulalamika ukombozi kamili ni lini wa hii nchi..
   
 16. Kadu

  Kadu Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We magamba huchoki kurudia thread ya kipuuzi kama hii? Hebu nenda kavuliwe gamba na bosi wako Nepi
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Napita tu
   
 18. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unatumika vibaya watanzania wameshaichoka CCM kama unabisha fanya utafiti juu ya maisha bora waliyoahidiwa
   
 19. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Hebu post picha yako tuone!Nina wasiwasi kama una kichwa!Yaani hao akina nape ndio umewaona masafi?USHAURI:Hata ukitumiwa jitahidi kutumia akili yako vizuri!Mw-hu weeeeee!!!!!!
   
Loading...