Dr. Slaa akosa dhamana, kupelekwa Kisongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa akosa dhamana, kupelekwa Kisongo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Nov 8, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa mambo yanavyokwenda kwenye mahakama ya hakimu mkazi wa Arusha ni kuwa Dr. Slaa anaelekea kukosa dhamana na hivyo itamlazimu kupelekwa gerezani Kisongo, ili akakutane na Lema huko.

  Ntawajuza nini kinaendelea soon

  =======

  UPDATE:

  Wamejitokeza watu kuwadhamini Slaa na Lissu, hawajulikani. Bado tunafuatilia kujua wametokea wapi
   
 2. Mwamikili

  Mwamikili JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 416
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kikwete anapelekwa gerezeni kweli tanzania ya amani
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,981
  Trophy Points: 280
  A bunch of wrong moves,nchi isipokombolewa sasa haitakaa ikombolewe tena.

  Lets see people's reaction.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hahah...kaona Lema anampoteza kwenye siasa!
  Kaona naye aige...
  Kweli magwanda wamekosa mbinu mpya
   
 5. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  THIS WILL BE ANOTHER ccm MISCALCULATION!- - - - KWA AKILI YA KAWAIDA UNADHANI INAWEZEKANA KATIBU MKUU WA CHAMA KIKUU KAMA CHADEMA AKOSE MTU WA KUMDHAMINI???

  KWANZA KWA NAFASI YAKE PEKEE HAITAJI KUDHAMAINIWA!!!!

  MAGAMBA YANAJIMALIZA!
   
 6. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Some thing is going to happen in this country
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hivi hizi mahakama zinafanya kazi mpaka huu mda? mbona kawaida ni saa9:30 au kipindi hiki wanalipwa Overtime kwasababu kuna kazi maalumu ya CCM?
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,557
  Trophy Points: 280
  Nakwambia mkuu nipo serious serikali isipo tumia busara lolote linaweza kutokea hapo arusha.Damu inaweza kumwagika na yale yaliyotokea kule nchi za uarabuni yanaweza yakatoke tena.
   
 9. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni busara tu inaweza kutuokoa na bomu linalotengenezwa na watawala
   
 10. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bado mpaka sasa majira ya saa 11:21 mahakama inaendelea na hajapata dhamana , ntawajuza zaidi soon , stay tuned.
   
 11. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  i hate to tell you that more blood is to spill b4 tomorrow afternoon. i hate wats happening. the goverment continues doing stupid moves, police themself are about to loose life.
   
 12. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Viapo vya Polisi kuhusu hali ya usalama vinaweza kuzuia dhamana..hii hata kama mdhamini yupo. Anyway,nadhani wafanye tu kama alivyofanya mwenzao Lema, kujitoa muhanga.
   
 13. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama bado hujapata habari kamili kwa nini unaweka hiyo title? Umeandika kama vile uamuzi umeshatolewa. Nina wasiwasi na "ukiranja" wako maana utakuwa unaandika majina kabla watu hawajapiga kelele we ushayapeleka kwa ticha - kuwa yaelekea watapiga kelele.
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,204
  Trophy Points: 280
  Lets wait & see naona uvumilivu unafikia mwisho kwa pande zote.
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  unachoandika ni upuuzi mkuu. Si umeshasema kakosa dhamana?
   
 17. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Acha kuzusha habari, hakuna aliyekosa dhamana wewe!!
   
 18. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,931
  Trophy Points: 280
  Hivi inteligensia ya Polisi haijui kuwa Arusha (na kwingineko) watu wanamiliki silaha kihalali na isivyo halali? choko choko za hivi ndizo zitakazo pelekea matumizi ya zana hizo. Shauri yao maana yatokeapo hayo target zinajulikana ni zipi.
   
 19. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hivi hawa wana akili kweli? Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani anapelekwa gerezani. ngoja waendelee kuongeza hasira zetu tutaona nani atashinda dhidi ya dora na nguvu ya umma.
   
 20. a

  actus Senior Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna ulichojuza kwasababu unasema Dr akosa dhamana apelekwa kisongo alafu unasema inavyoelekea atakosa dhamana.tulia mpwa tuliza masaburi utoe habari kamili kama amepata dhamana au lah sio kua na mzuka wa kujuza upuuzi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...