Lol...mkuu nilipata shida kukuelewa na nilivyokuelewa nimecheka kwa loud speaker!Mwambie akajinyonge fasta. Kwani jana hakuona ndoa ya wawili wale kwenye televisheni.??
Na honey moon wanaenda arusha.
Viongozi wepi hao mkuu? Hawa hawa wahongwa suti au kuna wengine?Tanzania Mungu ametupa kila kitu,madini,bandari,ardhi yenye rutuba,vivutio bya utalii n.k,kwa nini tunyanyaswe jamani?,kweli umasikini upi tulio nao?,viongozi wetu chonde chonde na David Cameroon,mwambieni hapo ametushika pabaya,HAIWEZEKANI MAISHA...
Ni kauli na Dr Sengondo mvungi mhadhiri wa chuo kikuu cha UDSM aliyo itoa hivi punde baada ya kubainika kuwepo kwa shinikizo kutoka UK kuitaka TZ kuruhusu ndoa za jinsia moja...