Nape ampiga kijembe PINDA ........ taifa limejaa mipasho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape ampiga kijembe PINDA ........ taifa limejaa mipasho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lifeofmshaba, Nov 8, 2011.

 1. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kauli ya Nape kutetea watoto wa viongozi kupewa vyeo au kubebwe ni kijembe kwa Pinda yakwamba mbona na yeye kapewa
  hapo chini ni alichosema nape kwenye post yenye link kwa chini kabisa
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haueleweki kunani??
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  nilipania kuchangia hapa lakini nasikitika kusema kwamba nimeshindwa kufanya ivo kwa kuwa nimeshindwa kumuelewa mleta thread....!i'm sorry.
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,147
  Likes Received: 1,242
  Trophy Points: 280
  Yaani anamaanisha kuwa Nape hakubaliani na kauli ya PINDA kuhusu watoto wa wakubwa (Viongozi a.k.a Vigogo au mafisadi) kugawiwa vyeo.

  Ila hapo juu Nape kaongea kimipasho zaidi.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umeanzisha hii thread ukiwa unakimbia mabom Ar?
   
Loading...