Ni zamu ya jamii nzima ya watanzania kuchukua hatua sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zamu ya jamii nzima ya watanzania kuchukua hatua sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Nov 8, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanajf

  sasa tunaingia katika kuadhimisha kile ambacho kinaitwa miaka 50 ya tanzania

  ni tanzania ambayo!

  1. haki zake za raia zinavunjwa bila maelezo wala hatua kuchukuliwa!!

  2. ni nchi ambayo demokrasia inakandamizwa na mfumo

  3. ni nchi ambayo viongozi wake wamedidimiza maendeleo na kufanya hali iwe mbaya kuliko hata kabla ya uhuru!

  4. ni nchi ambayo wahalifu na wezi wanatetewa, wanaotetea maslahi ya taifa wanaswekwa rumand na kufunguliwa kesi!

  5.ni nchi ambayo viongozi wake hawapatikani kihalali!

  6. ni nchi ambayo viongozi wake wanauza ardhi na kuwatengenenezea walio wengi ukimbizi ndani ya nchi yao!

  7. ni nchi ambayo viongozi wake waliochaguliwa na wananchi wanagubudhiwa kila kukicha!

  8. ni nchi ambayo walioshika dola wanacreate foja ili maendeleo yadidinie ili kutimiza lengo la kuendelea kutawala kwa gharamayeyote

  9. ni nchi iliyopoteza dira yaani haijui mbele ni wapi na myuma ni wapi!

  10. ni nchi ambayo imejaa manyanyaso yasiyo ya lazima kwa wasio na kitu (matokeo ya serekali corrupt - mwalimu nyerere)

  11. ni nchi ambayo chama kiongozi (CCM) hakina itikadi na kimepoteza dira na kupoteza uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani

  11. ni nchi ambayo viongozi wake wamepoteza dira na kupenda starehe kupitiliza - kwenda kucheza kamari nchi za nche wakitumia fedha za walipa kodi

  12. ni nchi ambayo watawala hawana interest na uwekezaji katika ustawi wa watu wake

  13. ni nchi ambayo hata mahakama zake zimepoteza dira na kuwa taasisi za chama tawala na kutetetea wahujumu uchumi

  14. ni nchi ambayo mahakama zake na vyombo vya dola vinatumika kubaka demokrasia na haki za wancnhi wake ambao wengi ni wanyonge

  15. ni nchi ambayo wananchi wake wanazidi kuwa hohe hahe na watawala wanaruhusu utoroshwaji wa rasilimali

  16. ni nchi ambayo haithamini mchangowa vijana ambao ni hazina kwa kila taifa!

  16. ni nchi ambayo kimsingi haina utawala na inakwenda kama gari iliyokatika sterling yake nk nk .....MENGINE MUONGEZEE

  KWA UJUMLA NI KICHWA CHA TEJA------ BORA MWENDA WAZIMU
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe nanhii unavuta bange what crap njoo na kipya haya yamekuwepo miaka 50 ya uhuru ndani ya hii miaka sita unategemea muujiza gani? hebu toa upupu hapa
   
 3. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  KWA mwendo huu hayataisha

  1. mimba za watoto ni kiherehere chao- - una uwezo wa kuwa mzazi?

  2.umasikini wa tanzania hata sijui unasababishwa na nini - - - ni kwanini ulijaza fomu ya kuonyesha nia kugombea uraisi?

  3. hakuna haja ya kuendelea kugawana umasikini--- hajui waliomchagua??? ni masikini? na ni wengi?

  4.
  SIMJUI dowans, kweli simjui - - - kwa nini anabariki malipo?

  5.
  sizihitaji kura za wafanyakazi! amesahaku kuwa JEMBE na NYUNDO kwenye chata la chama chake ni kwa ajili ya wafanyazi na wakulima!

  6. NYERERE HAKUYAMALIZA, AKAJA MWINYI HAKUYAMALIZA, MZEE MKAPA NAYE PIA....SASA MNATEGEMEA MIMI NTAYAMALIZAJE -- je ana nia na uwezo wa kutekeleza vyema majukumu ya URAISI?

  sio maneno yangu ni ya dAKTARI JK KIKWETE MWENYEKITI WA ccm NA RAISI WA TANZANIA..... ambaye baada ya kutathmini maneno yake ya busara kama haya na mengineyo mkaamua kumpatia udaktari wa falsafa!!!!!

  na yameendelea kuwakuna hadi mnataka kumchongea dili aipate nyingine hapo UD

  ndiye mlimchagua kwa maana ana uwezo wa kuchambua mambo na kuwaongoza........ hivyo mnamkubali na mnamsikiliza kama mwenyekiti wenu

  na ndio amekutuma hapa jf..... jaZA FOMU UKAOMBE DIPLOMA HATA YA CBE ITAKUSAIDIA MAISHANI, LA SIVYO UKIENDELEA HIVYO UTACHOMOLEWA KWENYE KALVATI! MWITE NA FAIZAFOXY NA KISHONGO NA HENGE NA MALARIA SUGU WAJE WAKUSAIDIE..... WAMEENDA WAPI SIKU HIZI?
   
Loading...