Mh. Spika kulikoni kuzima njia 'permanently'? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Spika kulikoni kuzima njia 'permanently'?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Nov 8, 2011.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wasaaalamu Mh. Spika.

  Natumaini u buheri wa Afya.

  Mh. Spika.. naomba niseme yangu machache kuhusiana na bara bara yetu ( ya umma) huku Kijitonyama. Mosi, ulianza na kusema kwamba umeomba kibali cha kuruhusiwa kufunga njia / bara bara kwa muda mfupi kupisha ujenzi wa mahekalu yako hapo Kijitonyama. Naona umeenda mbali na kuweka ukuta na mageti kuziba hiyo njia moja kwa moja . Naona Kisa cha 'Mwarabu na Ngamia' kinatokea katika hili suala . Kumbuka cheo ni dhamana na haki ya umma(sema: ikiwemo 'right of easement') itacheleweshwa lakini mwisho wa siku barabara ya umma itarudishwa. Natumaini 'busara' zako zitatumika katika kulishughulikia hili suala.

  Nakutakia kheri katika kikao cha bunge cha mwezi Novemba.
  Wakatabau,
  Shadow.
   
 2. d

  daligo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 535
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  That speeker she is gud for nothin, so she wnt hear just like evbody else in ccm. i hate her
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,029
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu hii nchi ni ya kwao.
   
 4. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Huyo mama ,sitta si kakwambia kuwa ana urafiki na mafisadi we ujui kuwa sera za mafisadi ni kukandamiza watu ili wao waishi kwa raha sasa unamaliza keyboard na kujaza saver bure tu, mwondoe kwa kura ya hapana uchaguzi ujao
   
 5. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watu si wangefanya kama walivyofanya mnazi mmoja enzi zile?
   
 6. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wapi mama Tiba, hajaona nini ujenzi holela huo?
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nimewahi kuishi jirani naye. Makutano ya jioni na duka la kutegemewa kipindi hicho,ilikuwa kwa Dr. Muya[1st African Dentist in TZ]. Jirani tena Jaji Maina,na wanajeshi kadhaa. Sipati picha mitaa hiyo kwa sasa.Barabara ndogo,magari kupishana shida,na ni shortcut ya wengi kwenda mjini!
   
 8. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Nani anayewazuia kuchanga, kukodi kijiko na kuja kuubomoa huo ukuta? Yeye amefanya ubabe? Ninyi muwe wababe zaidi. Kama atafungua kesi, mtakutana mahakamani! Msikubali kuishi kwa nidhamu ya woga! Spika hayuko juu ya sheria, ni binadam kama ninyi!
   
Loading...