Heche atangaza maandamano Dar kesho, Polisi yapiga marufuku!

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136

Wana JF

Muda mfupi uliopita makao makuu CDM , Mwenyekiti wa vijana Taifa John Heche Suguta amengaza maandamano makubwa Dar es Salaam kesho asubuhi kuanzia eneo la kimara.

Yeye pamoja na makamanda wengine walikuwa na mkutuna na wanacha wa CDM makao makuu.
Polisi imepiga marufuku maandamano ya kesho na magari ya polisi yenye vipaza sauti yananapita mitaani yakiwatisha kuwa kesho wasiandamane na wakithubutu tu, polisi watatumia risasi za moto kudhibiti maandamano hayo.

Maneno hayo yanatoka kwenye difenda ya FFU yenye vipaza sauti, nimeshindwa kukopi namba kwa kuwa taa ya kwenye number plate haiwaki.
 
Last edited by a moderator:
Yanahusu nini? Maana maandamano lazima yawe na lengo au ujumbe wa kufikisha kwa hadhira. Je, ni ya amani?
 
Anapoteza tu muda! akaandamane tu huko vijijini, siyo hapa dar. Huku watu wana ufahamu na wanajitambua. aje kwa staili nyingine!
 
Mkuu umeamia DAR sasa? Maana najua unaishi Lyamgungwe kule Iringa...nani amekuleta mjini? Na umeingia mjini ukajua tumia COMPUTER unapost uharo hapa JF....
 
Rejao bwana huwa unanifurahisha, yaani wewe unakaa unanusa sred za cdm tu na kuzi-crash! inaonekana kweli umemeza maji ya bendera ya kijani. mwenzio mwita keshajisalimisha, bado wewe, FF na malaria sugu. mtapata akili lini?
 
Tuko pamoja maandamano kama kawaida REJAO naye atakuwa miongoni mwa waandamanaji.
 
Tatizo hawa CDM hawapo strategically.. hawajui wanachokitaka!
kila siku wanatuacha dilema, Lengo la lema la kujipeleka mahakaman hatujui lilikuwa nini, wameshaenda tena kumuombea dhamana wenyewe, sasa hivi tena wanataka kuandamana dar, huku tunaona Zitto anagombana na NCCR mageuzi, mara gazeti ya mwanahalisi! tunaambiwa tena Slaa anatembea na bastola mikutanoni, mara tena mbowe kapotea, alikojificha hapajulikani!
Haya ni matukio machache tu ndani ya muda mfupi yanayokihusu hiki chama ambacho bado ni kichanga sana. wangejipanga vizuri.
 
Anapoteza tu muda! akaandamane tu huko vijijini, siyo hapa dar. Huku watu wana ufahamu na wanajitambua. aje kwa staili nyingine!

huu ugonjwa unaoumwa hauna dawa.....ukiona cdm bichwa lako linatoa makunyanzi...pua lako linamwaga kamasi...masaburi yako yanatoa ushuzi na kuwasha..utakufa tu huna jinsi
 
Tuko pamoja maandamano kama kawaida REJAO naye atakuwa miongoni mwa waandamanaji.
Usijali...nitakuwepo, huwa sikosi kuja kuangalia pumba zenu

Mkuu umeamia DAR sasa? Maana najua unaishi Lyamgungwe kule Iringa...nani amekuleta mjini? Na umeingia mjini ukajua tumia COMPUTER unapost uharo hapa JF....
Mi invisible...kila mahali nipo
 
Ha! Ha! Ha! Kila siku nasema Chadema Dar es Salaam wapo Kimara Temboni na Kimara Bonyokwa..

Kwa hiyo maandamo yanaanzia Kimara Baruti yanaishia Kimara Bonyokwa
 
Anapoteza tu muda! akaandamane tu huko vijijini, siyo hapa dar. Huku watu wana ufahamu na wanajitambua. aje kwa staili nyingine!

Wameamua kuyapeleka kwa Wachagga wenzao Kimara
 
huu ugonjwa unaoumwa hauna dawa.....ukiona cdm bichwa lako linatoa makunyanzi...pua lako linamwaga kamasi...masaburi yako yanatoa ushuzi na kuwasha..utakufa tu huna jinsi
chadema hamna jipya...assume hili nino lisingekuwepo ungeandika nini?
 
Rejao bwana huwa unanifurahisha, yaani wewe unakaa unanusa sred za cdm tu na kuzi-crash! inaonekana kweli umemeza maji ya bendera ya kijani. mwenzio mwita keshajisalimisha, bado wewe, FF na malaria sugu. mtapata akili lini?

Huyo jamaa na wenzake hao wana FUNZA huko juu kichwani na huko chini, hua wanawawasha ndio maana hawawezi kosekana kwenye ku-crash thread zinazozungumzia CDM, wala hakuna haja ya kujaribu kuwaelewesha lolote maana ni kazi bure, nia zao ni ku-divert concentration ya mambo ya maana yanayozungumziwa always.
 
Back
Top Bottom