Kama kuruhusu ushoga ni suluhisho la kiuchumi italia na ugiriki wangeshafanya hivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kuruhusu ushoga ni suluhisho la kiuchumi italia na ugiriki wangeshafanya hivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by harakat, Nov 10, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  HIVI KARIBUNI SUALA LA MASHOGA LIMEZUNGUMZIWA SANA NA VYOMBO VYA
  HABARI NA HASA PALE CAMEROON ALIPOTOA KAULI YA KUDHALILISHA NCHI
  ZETU ZINAZOTEGEMEA MISAADA ILA KAMA KUWATAMBUA NA KULINDA NDOA
  ZAO INGEKUA SULUHISHO LA KIUCHUMI BASI NAFIKIRI NCHI ZA ULAYA
  ZINAZOKUBWA NA MIGOGORO YA KIUCHUMI ZISINGEFIKA HAPO ILA HATA
  HAPA TZ HAWA JAMAA WAPO NA HATUJAWANYANYASA WALA KUWAFUNGULIA
  KESI SUALA NI KWAMBA HATUWEZI KUWARUHUSU KUOANA KUTOKANA NA KATIBA

  NAWASILISHA.........................CHEKI KAMA HILO HAPA LINAVYOREMBUA MPAKA KERO

   
Loading...