Gari za FFU zimemwagwa Ubungo hadi Kimara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari za FFU zimemwagwa Ubungo hadi Kimara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkeshaji, Nov 10, 2011.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Salaam wakuu,
  Nimetokea Kibamba. Nimefika maeneo ya Kimara nimekuta Difenda za FFU kama sita hivi zikirandaranda huku zikiwa zimesheheni askari waliojikoki kana kwamba wanajiandaa kuingia kwenye msitu wenye wanyama wakali; wamebeba maguruneti na zana za kutisha. Pamoja nao wamo askari kanzu kibao nao wanarandaranda katika maeneo hayo.

  Karibu njia nzima kutoka Kimara hadi Ubungo imesheheni magari ya FFU. Mengine yamepaki maeneo ya Rombo, Baruti, Kibo na Ubungo yenyewe.

  Nilijaribu kudodosa kulikoni, ndipo nilipoambiwa kuwa hayo ni maandalizi ya kuwatawanya wafuasi wa chama fulani ambao walijiapiza kuandamana leo. Maandamano hayo yalipangwa kuanzia eneo la Kimara, ndio maana Polisi wamejizatiti kudhibiti eneo hilo.

  Njiani pia nilikutana na Mwenyekiti wa Bavicha Bw. John Heche akiwa kwenye gari yake Nissan Patrol nyekundu akielekea maeneo hayo. Ndio anakwenda kuongoza maandamano....!!? Tusubiri tuone!
   
 2. i411

  i411 JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kodi yetu inafanya kazi
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mtu kama huna kazi utahangaika kuitafuta mpaka uipate sasa wenzetu ndio wameshaipata,mi huwa najiuliza hivi wana maisha gani kiasi kwamba kila siku wanatekeleza order hata kama wanajua wanaumia?afadhali mi hyo kazi cwezi tena mimi ukinipa order ndio kabisaa umetibua
   
 4. F

  FredKavishe Verified User

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wajinga hao na mishahara yao ambayo haifiki laki na 50'sasa mimi nakuja hukohuko na leo najimwagia petrol chafu mwili mzima yale maji ya kuwasha yasi niwashe na maandamano kama kawaida
   
 5. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ina maana hawa Policcm hawana shughuli nyingine ya kufanya zaidi ya kuzuia maandamano ya Chadema! Mbona kuna Uhalifu mwingi tu unaoendelea mitaani ikiwamo kukatwa mikono Albino na hatujasikia wahusika wakikamatwa! Au shughuli ya hawa Policcm ni kuzuia tu maandamano ya kudai haki!
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Wao wanadhani tunaogopa hayo magari yao?tena wakaandae makaburi na wapanue keko na segerea ili tutakaokamatwa tupate pa kwenda
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  An organ of coercion......
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhh,kazi ipo
   
 9. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  naam ninatoka sasa mwenge
   
 10. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jaman tuwe makin mandamano muhimu pia mali za wanamchi muhimu mana hapo ndo utasikia uhalifu.je tatizo ni mandamano au ruhusa ya kufanya mandamano yafanyike.
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hawana olote hao wapuuzi wakubwa kabisa...polis wa nchi hii ni wapuuzi sana na serikali yao pia
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  watu mna sound mashujaa ndani Jf ... Hehe tokeni muende... hahaha mi BANA hao jamaa nawaogopa niliwahi kupata kibano toka kwao Sina hamu nao...
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Kunani tena huko?
   
 14. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  The state it is always COERSIVE!!
   
 15. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa zetu wanajinyima nafasi ya 'existence' maana hawatumii kabisa akili zao kukabiliana na mazingira. Hawajui kuwa kinachofanyika sasa na hayo maandamano ni kwa faida yetu sote na wao wakiwemo.
  Jana niltokea kupanda daladala na askari mmoja nikamuona anagombea kiti na dada mmoja alafu baada ya kukosa akalazimisha kukaa, kondakta alivyokuja ndio kama hivyo halipi nauli. Nilipoangalia ile hali ndio nikakumbuka kuwa hawa ndio wanatuzuia wakati tukiandamana kudai improvements za maisha.
  Askari amkeni, msitumiwe na mafisadi 1% kuwa deprive wenzenu 99%!
   
 16. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  The state it is always COERSIVE,NASTY,BRUTAL AND HOPELESS.Jamani haya yanayoendelea siyo kwamba ni mapya hapa Duniani eg S.Africa yalitokea lakini yakafika mwisho,Misri,Zamazamabwe,Angola,etc then in a return to Tanzania.
  FIGHTING OUR OWN BLACK DEMON COLONIALIST. Freedom is today!
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,128
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  wanachelewesha tu.
   
 18. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nawaunga mkono wapenzi wote wa chadema kwa hilo mnalolifanya naamini dar kuna vijana wa kazi viva chadema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  wewe una akili sana.mia
   
 20. I

  IFRS 9 Senior Member

  #20
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fanyani maandamano 2wanyuke! 2nawasubiri.
   
Loading...