Msiniite muhaini wa Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiniite muhaini wa Tanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alexism, Nov 3, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Taifa langu limejikuta halina kiongozi wake, yaani rais.

  Taifa hili Tanganyika au Tanzania Bara linaongelewa sana lakini cha ajabu halina serikali kabisa. Kwakuwa nimepata uchungu kuwa taifa langu alitambuliki kama zilivyo nchi nyingine mfano Zanzibar etc

  Napenda kutimiza haya nakuwa mzalendo kwa vitendo MIMI NDIYO RAIS WA ILI TAIFA LA TANGANYIKA aka TZ BARA.

  Msiniite muhaini bali ninataka kujikomboa.
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  ndiyo nyie siku ya maandamano kudai haki mnajificha uvunguni, lakini kulalamika wa kwanza.
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Saa ya ukombozi ni sasa.

  Ulikuwa wapi Rev. Mtikila alipotaka wananchi tumuunge mkono ili tuifufue Tanganyika?

  Wengi wanaonekana wameridhika na mfumo wa Tanganyika kuwakilishwa na serikali ya Muungano.

  Taifa la Tanganyika lipo ila wenye taifa ndio hatujifahamu, tumewaachia wanasiasa wajanja wanavurunda, wanafuja kila kitu.
  Kwa ufupi, ni kiini macho, mazingaombwe.
  Ufisadi na kuneemeka kwa wachache na umasikini na maradhi kwa mamilioni waliobakia. Hilo ndio taifa letu.
   
 4. B

  Bishweko JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Wewe sio mtanzania,mawazo yako hayakubariki hapa jamvini na usituletee mambo ya kwenu huko,tuachie nchi yetu Tanzania MUNGU IBARIKA TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM,MUNGU MBARIKI KIKWETE.
   
 5. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Kweli inawezekana watanzania hamuwezi kujikomboa kutoka kwenye minyororo ya CCM,WIZI aka UFISADI,Kutowajibika kwa uongozi etc mpaka aje mtu kutoka nje.Kweli?Basi kamuite John Okello awasaidia kama alivyowasaidia huko Zanzibar.
   
Loading...