CCM let us be realistc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM let us be realistc

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Nov 10, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie ninamtazamo tofauti kabisa na mwenendo wa siasa za CCM sasahivi. Ukweli ni kwamba siasa za CCM ilibidi toka siku kinazaliwa na ilikuwa hivyo kwa kuwa kwa wakati huo iliruhusu iwe hivyo ili kuongoza dola. Na siasa hizo zinajulikana kwa kila mwanachama anayeijua CCM vizuri, siasa ambazo kiini chake kikuu ni propoganda, ambayo kwa bahati mbaya hata vijana wengi wa CCM tumeiiiga.

  Mtazamo:Mtazamo wangu nafikiri hii imepitwa na wakati,nilipoona nape amefuta kitengo hichi nilidhani amegundua hilo..kumbe amebadilisha tu style lkn bado mlengo wake ni huo huo.Kwanini?ni kwasababu juzi akiwa USA ametwambia kuwa ameajili vijana ambao wanaweza kutumia mtandao na sio wazee ambao hata kushika computer hawajui, nia ni kupambana na vijana wenzetu wa upinzani. Na kweli ukifatilia mitandao mingi ya kijamii hili linaonekana na hasa kwenye propaganda ambazo sie vijana wengi wa CCM tunapenda kuzitumia na kujenga hoja nia kuu ikiwa ni kurudisha imani ya vijana au kuwamaliza nguvu vijana wenzetu wa upinzani.

  Ukweli:ni kwamba utawala wa propoganda haufai tena kwa dunia ya sasa,nchi nyingi tunazoona zinaanguka ni kwa sababu ya kuendekeza mfumo huo. Cha msingi ni kubadilisha dira na kuiga utaratibu wa nchi zilizoendelea za siasa za uwajibikajia.

  Kwakufanya hili,vijana watakuja CCM wenyewe,wapinzani wataishiwa nguvu,vurugu hazita kuwepo,na nchi yetu itaendelea.

  Kidumu Chama cha Mapinduzi chenye mabadiliko chanya yanayoendana na wakati.
   
 2. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  "Kidumu Chama cha Mapinduzi chenye mabadiliko chanya yanayoendana na wakati."

  Ulianza vizuri, lakini hiyo statement uliyomalizia inakinzana na dhana yako nzima ya mabadiliko, kwasababu mwenyewe umekiri kuwa hakuna mabadiliko yoyote so far, bali ni style tu ya propaganda.
   
 3. r

  raffiki Senior Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama umenielewa juu nashindwa kuelewa kwanini haujanielewa hapo kwene nyekundu.

  ndio maana nimesema kidumu CCM kwa mabdiliko hayo chanaya yanayoendana na wakati kwamaanai. Bila mabadiliko hayo CCM hatuwezi kudumu ought implies can.
   
Loading...