Viongozi wa Tanzania nao waige kuchukua maamuzi magumu kama alivyofanya waziri mkuu wa Ugiriki

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Waziri mkuu wa Ugirikia ameamua kuchukua maamuzi magumu na kujizulu kufuatika hali ngumu iya maisha nayoendelea nchi kwake. Ameona ameshindwa kutafuta suluhu na ameamua kuwaachia wengine wafanye bila kutafuta visingizio. Soma hapa George Papandreou resigns as Greece's prime minister - Telegraph


Nini kinachowashinda viongozi wa Tanzania kuchukua maamuzi magumu kama haya. Kila kukicha zinatafutwa sababu; mara ooohh hakuna mvua ndo maana mfumuko wa bei, mara ooh hakuna mvua ndo maana hakuna umeme, mara oooh economic crisis ya ulaya inatuaffect, etc. Jamani viongozi wa Tanzania wajifunze kujiweka kando pale wanapoona kwamba hawawezi na wawaachie wengine sio kung'ang'ania tu kwa mambo msiyoyaweza...
 
Back
Top Bottom