Je, kifungo cha mbunge wa Mbalali-Mbeya ni maandaliza ya kuwatia adabu wabunge wa CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, kifungo cha mbunge wa Mbalali-Mbeya ni maandaliza ya kuwatia adabu wabunge wa CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LATTICE BOND, Nov 12, 2011.

 1. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana Mbunge wa Mbalali alihukumiwa kifungo cha miezi kumi jela au kulipa faini ya Tsh500,000. alichagua kulipa faini na kuachiwa huru. Kisheria kutendo cha kulipa faini ni equivalent na kifungo [kwa lugha nyingine amefungwa miezi kumi].
  Je, hayo si maandalizi ya vifungo kwa Bwana Lema, Lisu, Dr. Slaa na wengine ambapo watapewa masharti magumu ya kulipa faini hivyo kuishia jela ili hawa jamaa [CCM] waendelee kutuminya!!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  No Double standard hivi kwa akili ya kawaida kati ya aliyetishia kuua na aliyekahidi amri ya polisi(kutoandamana) nani ana azabu kubwa?
   
 3. N

  N series Senior Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakitaka mtu afuatwe hapo magogoni na kushikwa masaburi,wajaribu kufanya huo ushuzi ili wanaharakati wetu wakae jela, . . . !
  Hapo ndipo namim ntalifuata lile guruneti langu kwa anko pale ethiopia . . .
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  dahhhhhh yani mbavu sina duhhhhhh
   
 5. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu angalia yasije kuwa majigambo kama yale ya Kadaffi!
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Kadaffi, ni nani huyo tena mkuu!
   
 7. m

  maswitule JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Siyo ya Gaddaffi ni ya NTC? si unajua mwisho ulikuwaje
   
 8. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuandamana ni misdemeanor..... hufungwi.
  Kutishia kuua ni jinai., kama kuna kamati ya nidhamu ya bunge au CCM huyu jamaa inabidi ang'oke.
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hizo sheria zilikuwepo kabla ya Chadema. Inakuaje uzihusishe na siasa.
   
 10. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa namtambulisha Muammar Gaddafi!! typing error!!
   
 11. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SOBY Ni kweli kabisa inabidi avuliwe ubunge!! kama sijakosea hilo ni sharti la katiba na si sheria ya uchaguzi pekee!! ngoja tusubiri matokeo ya hiyo hukumu kule bungeni!
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,104
  Likes Received: 7,356
  Trophy Points: 280
  Hivi Lameck Airo nae aliishiaga wapi na lile saga?
  Au ndio Kuny.a anye kuku,
  Akiny.a Bata.......!!!!!
   
Loading...