Baada ya Rombo kupandisha bendera ya Kenya Sasa Mbeya wajitangazia nchi na Rais wao!

Zed

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
435
257
Mbeya wajitangaza nchi na Sugu ndio rais wao!
DSC00762.JPG
 
​maisha bora kwa kila mtanzania.......je wananchi wa mbeya hawataki maisha bora ambayo jk ametoa ahadi?
 
hii kali zaidi na mapinduzi huanza hivyo. duuuu, JWTZ hapa wana kazi
 
Nakumbuka bango enzi zile liliwaweka wanachuokikuu nyumbani. "Tatizo si umasikini Tatizo ni kikwete na serikali ya kishikaji"
 
Back
Top Bottom