Igunga - mpaka sasa Kashindye kachinjiwa ng'ombe 12 za pongezi

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,065
1,535
hi all,

wakati mapokezi ya mbunge wa ccm igunga dr kafumu yakidorora yakifanyikia ndani ya kumbi za makao makuu ccm taifa pale dodoma (yasingeweza kufanyika katika open ground), aliyekuwa mgombea wa chadema kashidye ameendelea kuchinjiwa ngombe katika kata za igunga kama kumpongeza kwa kushinda uchaguzi ule.

wakazi wa igunga wanaendelea kumpongeza kashindye kwa kushinda uchaguzi na kwamba wao wanamtambua kama mbunge wao.

teyari hadi tunaenda mitamboni, ameishachinjiwa ng'ombe katika kata 12 za igunga...

naomba kuwakilisha!
 
dr kafumu kashinda kwa magumashi ila ngonja tusubr maana tunaskia kesi iko mahakamani na pia kashindye hana haja ya kukata tamaa 2015 haiko mbali atachukua jimbo tu!
 
Kafumu anakula kiyoyozi bungeni na ameanza kusinzia maana hajui la kufanya....well done Mwl Kashindye.....
 
Hongera kamanda Kashindye,hata mimi huku nakutambua wewe ndio Mbunge wa Igunga.
Tusubiri 2015 itafika tu lakini endelea na harakati na mapambano bila kuchoka
 
  • user-online.png
    Mlengo wa Kati

    Today 15:40
    #5
    JF Senior Expert Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png

    Join Date : 16th February 2011
    Posts : 552

    Rep Power : 22

    [h=2]
    icon1.png
    Re: Igunga - mpaka sasa Kashindye kachinjiwa ng'ombe 12 za pongezi[/h]
    Kashindye Atachua miaka 10 kwenda haja kubwa maana ng'ombe 12 kala wote si mchezo!​

    • Hivi huu u Senior Expert hapa JF unaapitakanaje?

Kashindye Atachua miaka 10 kwenda haja kubwa maana ng'ombe 12 kala wote si mchezo!
Kashidye kwakuwa ni mtu wa watu hakula peke yake, angekuwa Dr Kafumu angebeba kwenda kulia DSM kama walivyofanya sherehe ya kumpongeza. Kura wapige wana Igunga, sherehe wafanye watu wa DSM wapi na wapi?
 
Mjinga ndie aliwaye anapozwa kwa ng'ombe? Anatia huruma huyu mchizi.Kafumu ameshaapa unategemea kesi kweli? Ila kupewa ng'ombe sio kigezo maana hata Mwigulu alipewa kwa kuendesha kampeni hivyo hata Kafumu anaweza kuchinjiwa tu
 
Hongera kamanda Kashindye,hata mimi huku nakutambua wewe ndio Mbunge wa Igunga.
Tusubiri 2015 itafika tu lakini endelea na harakati na mapambano bila kuchoka

Hebu fasnya hatujui kwa nini achinjiwe ngombe! kafanya nini?
 
hi all,

wakati mapokezi ya mbunge wa ccm igunga dr kafumu yakidorora yakifanyikia ndani ya kumbi za makao makuu ccm taifa pale dodoma (yasingeweza kufanyika katika open ground), aliyekuwa mgombea wa chadema kashidye ameendelea kuchinjiwa ngombe katika kata za igunga kama kumpongeza kwa kushinda uchaguzi ule.

wakazi wa igunga wanaendelea kumpongeza kashindye kwa kushinda uchaguzi na kwamba wao wanamtambua kama mbunge wao.

teyari hadi tunaenda mitamboni, ameishachinjiwa ng'ombe katika kata 12 za igunga...

naomba kuwakilisha!

Wacha wajidanganye. Dunia inamjua mbunge wa Igunga.
 
Mjinga ndie aliwaye anapozwa kwa ng'ombe? Anatia huruma huyu mchizi.Kafumu ameshaapa unategemea kesi kweli? Ila kupewa ng'ombe sio kigezo maana hata Mwigulu alipewa kwa kuendesha kampeni hivyo hata Kafumu anaweza kuchinjiwa tu
nyie wajinga wa magamba mko kama fungus target yenu is to rotten the nation! kashindye ni mbunge sababu ndiye mwenye ushawishi elewa kama hujala gamba la mamba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom