Kampeni za Mapema Majimboni Kabla ya 2015 : Mzimu wa Kisiasa ama Ukomavu wa Demokrasia?

Yahya Mohamed

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
270
317
Wanasiasa siku zote wanasema mwisho wa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mwingine. Kwa mantiki hii ukiangushwa unajipanga kutetea nafasi yako katika uchaguzi utakaofuata. Tumeanza kushuhudia harakati na vikumbo katika majimbo mengi kwa sasa na pia nyadhifa mbalimbali katika vyama vya siasa.

Nukuu:

Je harakati hizi zina athari zozote katika kushughulikia kero za wananchi?
Inatoa ishara gani katika kukua kwa demokrasia?

Mada hii itajadiliwa siku ya Jumapili kupitia Star TV katika kipindi cha Tuongee asubuhi kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 3 kamili asubuhi:

Mchakato wa kualika wageni unaendelea na update zitawekwa hapa kwa akina nani watakaoshirki Studio. Shiriki sasa kwa kuweka maoni yako hapa na yatasomwa kama nyongeza katika kipindi siku ya juumapili tarehe 13.11.11

 
Nchi hii imegeuka kuwa taifa la kampeni na uchaguzi kila wakati. Hivi tutapanga maendeleo lini kama tumekalia politiki?
 
Back
Top Bottom