Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Nov 11, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza.

  MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo.

  Mwisho inawezekana idadi ya wabunge wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Masaburi at work! Wewe umeona wabunge wa chadema tu? Ama kweli mnafiki chakula ya mamba.
   
 3. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Changia katika hoja iliyopo hao wengine wawasilishe wewe mimi nimemuona hoyo kilaza kwa hiyo pinga hoja na sio kutoa lugha za matusi.
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unatumia masaburi gani kufikiria? ni bora vilaza 3 wa CDM kuliko 250 wa poliCCM wale ni zaidi ya Viwaza ni madebe kabisa
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ccm bwana ...yaani kuwa shabiki wa ccm unatakiwa **** na roho na akili kama mwendawazimu hivi ...
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,692
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Una hoja gani hapa? Hamna ulichoandika chenye maana. Personally sijamuona akichangia, so I expected useme kaongea nini exactly ambacho wewe unaona hakina maana. Then we can discuss...,
   
 7. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Waliokutuma waambie hatupo!
   
 8. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Amesimama kuzungumza kuchangia hoja na kuanza kunukuu kila baada ya dakika na pasipo kuonyesha anasimamia hoja gani. Naomba waliomtazama wachangie na wengine tuachieni mjadala na hoja hii haina itikadi hapa.
   
 9. k

  kiloni JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hoja ipi?? Acha upuuzi!! wala hakuna tusi unalosingizia hapa!!
   
 10. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Tatizo sio mbunge alie changia hoja bungeni, tatizo lipo ktk uwezo wako mdogo wa kuelewa mambo. Unashindwa kuelewa hoja unaamua kujipendekeza CCM kwa kuandika upupu wako hapa. Watu wa aina yenu mnatakiwa mfe tu.
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  basi huyu ndio mwenye akili na asie kilaza
  [​IMG]
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  basi huyu mbabu ndio anaakili sana
  [​IMG]
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  au huyu mzee ni timamu sana
  [​IMG]
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Pumba hizi
   
 15. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hivi ni lazima mtu uanzishe thread?
   
 16. l

  lowamond Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda Mwingine Tuache Ushabiki Wa Kisiasa, So CDM Wapo Sawa Kwa Kila Kitu,.Mi Mwenyewe Ni Mwanachama Wa CDM,.Nimemcheki Ila Nilisikia Aibu Ya Kuendelea Kumuangalia, Hamna La Maana Alilochangia Zaidi Ya Kujiumauma!? Na Hii Si Mara Ya Kwanza Kuongea Pumba. Nadhani ndo Matatizo Ya Viti Maalumu, Af Ndo Alikuwa Ass. lecturer UDSM, Kwa Mtindo Huo Sijui Darasani Alikuwa Ana Lecture Nini!?
   
 17. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You are right, but I'm afraid that in our bunge with CCM majority no body cares when genuine argumentations are made. We seen several of the opposition MPs with good arguments but they were let down by their own people. So the issue is not how she presents her aruguments but how the majority CCM will pass the bill. Will the Speak say " wanaounga mkono hoja waseme ndiyooooo" or what? I'm doubting our Bunge in passing very crucial Bills.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  By Membe for 2015.......no wonder
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mbunge m1 wa CDm(kiakili/kimawazo/kimtazamo) ni sawasawa na wabunge 20 wa CCM
   
 20. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli nimemuona huyo mbunge yaani kichefuchefu kabisa.
   
Loading...