RUMANYIKA
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 315
- 74
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.