Elite

ELITE

New Member
Nov 16, 2011
2
0
Namwangalia Mh.OLE Sendeka TBC1,hivi ni kweli Wabunge wa CCM wanadhani Watanzania bado ni wa Miaka 70 WASIOJUA nini wanakifanya?Cuf nao wanavuna matunda ya ndoa yao ndo maana wanalalamika.CCM na CUF ,jadilni hoja iliyopo mbele yenu,ndo tunachokitaka watanzania na sio kuijadili CHADEMA,maana hata mkiwasema,bado kumbukeni hiyo ndo "PEOPLES POWER".
 
ungepeleka huu uzi kule kwenye ule uzi wa ole sendeka ccm na hamad rashid cuf..
sawa..
 
Wabunge wa CCM wanafikiria kwa kutumia masaburi ya cameruni ndo mana hawana hoja, kazi yao mipasho ya kikameruni tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom