agenda ya ajira kwa vijana 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

agenda ya ajira kwa vijana 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Biz2geza, Nov 17, 2011.

 1. Biz2geza

  Biz2geza Senior Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau katika harakati za 2015 upande wa magamba baada ya kuona kuwa wamepoteza mvuto mbele ya vijana ambao wanachukua nafasi kubwa ya ushwawishi katika kura.watu ambao wanamwelekeo kutafuta nafasi ya urais 2015 wameanza kutumia hii agenda kufanikisha malengo yao.
  Mytake.
  Nafikiri vijana wa leo cyo wa 47 hawadanganyiki kwahizi agenda za msimu na hawatakuwa tayari kutumika kisiasa kama bigje!
  Naomba kuwasilisha.
   
Loading...