Mjadala wa sheria ya katiba:wazanzibari wameridhika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa sheria ya katiba:wazanzibari wameridhika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Nov 17, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Muswada wa Sheria ya Tume ya Katiba uliposomwa kwa mara ya kwanza mnamo mwezi Aprili,ulikumbana na upinzani mkali sana 'nchini' Zanzibar kufikia hadi kuchanwa hadharani.Wazanzibari walidai kuwa Muswada huo ni batili na haufai hata kuonekana na waliapa kuupinga hata ikibidi kuvunjwa kwa Muungano.Muswada 'umerekebishwa' na kusomwa kwa mara ya pili/kwanza Bungeni.Wakati CHADEMA na wanaharakati mbalimbali kama Jukwaa la Katiba wakipinga kusomwa kwa mara ya pili kwa muswada huo,Wazanzibari wako kimya.Je,wameridhika? Walichokitaka kimo?
   
Loading...