Watanzania hawataki Katiba Mpya wanataka kujikwamua kwenye umasikini

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Hivi sasa jambo linalopigiwa kelele ni Katiba mpya. Binafsi ninaona kwamba hili suala ni la kisiasa zaidi na si la msingi kama kupambana na kuondoa umasikini, ujinga, ukosefu wa umeme, maji na huduma za afya. Hivyo ninaomba wanasiasa wajikite kutafuta umasikini na njaa walizonazo wananchi.
 
Mmmmmmmmmmmhhhhh!!! Tuna taka katiba mpya ili iwawajibishe viogoz wazembe kukiwa na sheria madhubuti za kuwabana katika utendendaji kazi wao lazima kila mmoja atawajibika ipashwavyo na umasikini utapungua kwa asilimia kubwa tu..maji na huduma za afya zitakuwa bora na nzuri, umeme utakuwepo wa kutosha tu,
 
Back
Top Bottom