Forgery za kizamani sana toka Wizara za Nishati na Madini

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Yaani mtu anagushi kwenye 20,000 anaandika 120,000tshs mambo ya kizamani kweli.
Inaonekana umu wizarani kuna vilaza wa hali ya juu kama mtu anastaili kulipwa posho 20,000tshs alafu wewe umeongeza 1 ivi auditors huwa wanakagua nini?
Huyu CAG hakuliona hili la wazi kabisa.
CAG umeniangusha nilikuwa nakuamini sana
 
mi nakwambia ktk serikali yetu hii ya mk.were, hata yule unayedhani ni msafi, ukweli ni kwamba amechafuka mithili ya aliyeoga oil chafu, mweeeeeee!
 
Hawa wizi wachukuliwe hatua kali sana za kisheria.

Na ndio ushauri uliotolewa na Lissu. Lakini utashangaa hakuna hata mmoja atakayefikishwa mahakamani. Ngeleja na naibu wake nao kwa kupokea 4m wasiyostahili ilkuwa wizi. Haki inahitaji wote wasonge mahakamani.
 
Back
Top Bottom