Hawa ndiyo maadui wa mchakato wa katiba mpya kwa miaka 50 inayokuja !!!!!!!!!!!!!

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Wana JF

Tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya
kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania.

hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato
wa katiba mpya inayokuja.

Maadui wameonyesha ubnafsi katika mchakato huu na kuchukua nafasi ya watanzania

Maadui hawa ni pamoja na wabunge wa ccm na cuf, AG,Waziri wa sheria na katiba pamoja na mkuu wa nchi

watu hawa ni hatari na ni janga la kitaifa kwa miaka hamsini ijayo ndugu

zangu.tunatakiwa kutumia busara zenye utaifa kuliko kufikiri ccm au cuf

itanufaika vipi na mchakato huu,Mfano mzuri ni katika miaka hamsini ijayo tunaweza tusiwepo na cmm wala cuf bali watanzania bado watakuwapo.

Ninatoa rai kwamba maadui hawa pamoja na wengine namna hii wapingwe

vikali kwa namna yoyote ile kwani ni kikwazo juu ya haki ya watanzania.
 
Hawa maadui hawana macho na masikioni hata ukiwapinga! Na kwa kuwa hawana macho siku wakitumbukia shimoni ndipo ukombozi wa taifa hili utakapotimia! Ombeni siku za kutumbukia shimoni kwa maadui hawa zisiwe nyingi ili ukombozi wa kweli upatikane!
 
Back
Top Bottom