Pinda: CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Waziri mkuu Mizengo Pinda katika hoja yake ya kuliahirisha bunge leo tarehe 19/11/2011 amesema kuchaguliwa kwa dr. Dalali kafumu kuwa mbunge wa igunga ni kithibitisho kuwa CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Sijui ulimi ulitereza au alikuwa anamaanisha!!!
 
Ukinaona amesema hivyo ujue kuna uwalakini kwenye huo msemo. Kama ni kweli ni chama cha wakulima na wafanyakazi basi ingejulikana hivyo na hakuna haja ya kwenda kufanya test maabara.
 
Pinda anazeeka vibaya, kwanza kumsifia Kafumu ambaye dakika 45 zilizopita ametajwa na kamati teule kuwa alipata mgao wa laki tano na sitini elfu kutoka katika mchango haramu inamaanisha kuwa Pinda anajua kuwa Kafumu amepata hiyo nafasi ya ubunge kwa the same way ya ubadhilifu kama alivyotajwa kuhusika kwenye sakata la Jairo.
 
magamba hawana sera ni kama wanavyosema nchi hii ni ya falsafa ya ujama na kujitemea!!!! hahahahahah is it practical?
 
Pinda anazeeka vibaya, kwanza kumsifia Kafumu ambaye dakika 45 zilizopita ametajwa na kamati teule kuwa alipata mgao wa laki tano na sitini elfu kutoka katika mchango haramu inamaanisha kuwa Pinda anajua kuwa Kafumu amepata hiyo nafasi ya ubunge kwa the same way ya ubadhilifu kama alivyotajwa kuhusika kwenye sakata la Jairo.
This mzee cant stop amazing me
 
Naanza kuamini kuwa hakuna alie msafi ndani ya Ccm na hakika kinacho ingia kwenye taka nacho ni taka.
Kafumu ameramba Posho ya Laki Tano na sitini?! [Tsh 560,000/=] Ccm kweli ni janga la kitaifa na ukiyastajabu ya Jairo na Luhanjo, utayaona ya Kafumu na rangi zake.
 
Simshangai kusema hivyo kwani na yeye alijipakazia sifa hiyo hiyo. Aliingia madarakani kwa heshima atatoka amedharaulika.
CCM si chama tena bali ni
- genge la wahuni,
- wakandamizaji,
- hawaambiliki,
- mafisadi,
- wachakachuaji,
- wenye kuamini uongo wao wenyewe,
- wanaoahidi wasiyotekeleza na kutekeleza wasiyoahidi,
- wanaodhani kuwa Tanzania ni mali yao na shamba la bibi zao.
Nimesahau ila nyengine za magamba?
 
Ukinaona amesema hivyo ujue kuna uwalakini kwenye huo msemo. Kama ni kweli ni chama cha wakulima na wafanyakazi basi ingejulikana hivyo na hakuna haja ya kwenda kufanya test maabara.
Kweli kabisa. Ukiona mtu anahangaika ku-qualify kitu, ujue kuwa hicho kitu is unqualified
 
Mi nashangaa sana kwani cc hatuoni kuwa ccm ilishatutupa wakulima na hao wafanyakazi si ndo walimu wanagoma muda woote na hawalipipwi mafao yao, ndo maana huwanasema pinda ni msukule.
 
mtoto wa mkulima, aliyesahau ndugu zake ambao wote ni wakulima

Tanzania ni typical "animal farm" situation
 
Waziri mkuu Mizengo Pinda katika hoja yake ya kuliahirisha bunge leo tarehe 19/11/2011 amesema kuchaguliwa kwa dr. Dalali kafumu kuwa mbunge wa igunga ni kithibitisho kuwa CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Sijui ulimi ulitereza au alikuwa anamaanisha!!!

Amesahau kwamba ili kushinda ilibidi waue wapiga kura na kisha kuchakachua uchaguzi wakiongozwa na tume ya uchakachuaji uchaguzi ya Magamba na vyombo vya dola.
 
Sio chama cha mafisadi na matajiri? Hee pinda bana tuweke wazi
 
Back
Top Bottom