amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni...
Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 16 November 2011
WAKAZI wa Jiji la Mbeya kwa mara ya kwanza wiki iliyopita walishuhudia filamu ya aina yake. Ilikuwa kama kushuhudia mapambano kupitia luninga...
East Africans We need to avoid the intensity of national politics in matters of regional integration if the process is to achieve results, Juma Mwapachu, the immediate former Secretary General of...
Juzi rais JK amekula moto na upinzani hususan chadema kwamba wanataka kuyumbisha nchi katika mchakato wa katiba mpya. Kama umesoma katikati ya mistari kitu kilichomtisha sana jk ni hoja ya kuwa na...
Najua asilimia kubwa ya ccm ni magamba, lkn haya nimeyaita magamba sugu au magumu kwani naamini kama walishindwa kuvua gamba la Lowasa na Chenge, hili la Luhanjo, Ngeleja, Malima, Jairo, Kafumu...
Kingunge ashindwa kumshukuru Kikwete
KADA Mkongwe wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru alishindwa kuzungumza "neno la shukurani" baada ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia taifa kupitia mkutano...
Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida imewaumbua Mkuu wa Mkoa wa singida, na Balozi wa Uingereza waliokuwa wanafanya Ufisadi kujichukulia ardhi ya vijiji 6 katika Manispaa hiyo. Mkuu wa Mkoa...
mh Tundu Lisu,amenifurahisha sana alipotamka waziwazi mabadiliko ya kumi ya katiba ya Zanzibar iliyoweka serikali ya umoja wa kitaifa,imeuwa upinzani kwa kwa CUF kuunda serikali pamoja na mabwana...
Deus Kibamba ni kijana ambaye amesaidia sana kuelewesha umma juu ya mambo mbali mbali na hasa ya kisiasa, kupitia vyombo vya habari. Hivi karibuni ndiye aliyeshika uenyekiti ktk mjadala wa katiba...
WANAJF;Toka jana mara tu baada ya Hotuba wa Rais nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu KUSUDIO LA MAONGEZI YA RAIS na wale Wazee wa CCM wa DSM. Ni hakika sijapata jibu la kusudio wa...
Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya...
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 16 November 2011
BUNGE kama limepasuliwa mapande; serikali imekaidi maoni ya wananchi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimkasirikia Rais Jakaya...
KAMATI teule ya Bunge iliyoundwa kuchunguza uhalali wa utaratibu wa Wizara kuchangisha fedha kwa ajili ya kupitisha bajeti bungeni, imewasilisha taarifa yake huku ikimkangaa Katibu Mkuu wa Wizara...
Jana bungeni ktk majadiliano ya sakata la nishati na madini,Mh.Dalali kafumu anatajwa km muhusika wa ulaji wa rushwa kwa ushahidi wa kupokea posho ya sh.5 na elfu thelathini kinyume na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imemaliza kikao chake cha siku moja usiku wa tarehe 31/07/2011 mjini Dodoma chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM...
Wakubwa wa jamvi mimi sio Yule aliyesema ana intelligence unit yake anatafuta watu na habari ,ni heading tu ila napenda wale wote waliopenda sana kujifunza itellijensia hili ni somo la kwanza...
Ukiangalia kwa haraka utagunduwa Harambe za lowassa zimewashituwa wengi ambao hawapo upande wake michango yake ni mikubwa mmno, hotuba zake zina makali kwa CCm na serekali yake na ndio hapo Rais...
Ndugu zangu,
Sekta ya Nishati na Madini ni mojawapo ya mihimili mikubwa ya uchumi wa nchi yetu. Kinachonishangaza ni kwamba pamoja na sekta hii kuwa muhimu imekuwa ikikabidhiwa kwa watu ambao...
Hiyo ndio hali halisi.
Kama mtu ana uwezo wa kutumia Nguvu za dola kupata maradaraka, shida iko wapi? Hata akifanya ufisadi mchana kweupe nani atamfanya nini? Wadanganyika tutaishia kupiga kelele...