Balozi wa uingereza na RC singida aibu tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi wa uingereza na RC singida aibu tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MADORO, Nov 12, 2011.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida imewaumbua Mkuu wa Mkoa wa singida, na Balozi wa Uingereza waliokuwa wanafanya Ufisadi kujichukulia ardhi ya vijiji 6 katika Manispaa hiyo. Mkuu wa Mkoa huyo amekuwa akipigania kampuni fulani ambayo akiulizwa na wananchi hutoa matusi ya nguoni, na hivi karibuni alimleta Balozi wa Uingereza kuja kumwonyesha eneo hilo.

  Kijana Mmoja Mwanaharakati aliandika barua kutoa taarifa ya kukusudia kuishtaki Manispaa, Mkurugenzi amejibu barua hiyo 20/10/2011, yenye kumb.HM/SI/P.10/VOL.111/44, AKASEMA "NAKUJULISHA KUWA KAMPUNI HIYO HAIMILIKI ARDHI YEYOTE NDANI YA ENEO LA MANISPAA.

  NAULIZA, KIHEREHERE CHOTE CHA RC HUYU CHA KUKURUPUKA KUMLETA HADI BALOZI KUMWONYESHA ENEO FEKI, JE WALIKUSUDIA NINI? SERIKALI YETU INAWEZA KUUZA KILA KITU HADI WATU. OVYO SANA HUYU.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180

  kamanda usidanganywe na hiyo barua ya DED. hata kama imeuzwa/inamilikiwa kama ni kwa njia haramu, kamwe DED hawezi kukwambia ukweli wa hilo. we subiri uone tu mwisho wake
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wameshamcamerun huyo
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ndio maana naipenda tz maan haiishi vituko, ni sawa na uswahilini tu!
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  mi nilifikiri wamefanya mambo ya kicameron!
   
 6. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio tatizo la serikali USED.
   
 7. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mtu alijinde na kulinda mali zake,hakuna serekali tena tz..ni wezi wote
   
 8. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ...........IFAGHAA, hujaijua bongo kumbe, waambie hao wananchi wajiandae kumpisha mwekezaji, kwa marungu,mabomu na maji ya kuwasha ya vijana wao;(police)
   
 9. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Acha wafanye wanavyotaka si mumewachagua wenyewe tukisema tuandamane mnajificha
   
 10. j

  jigoku JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hiyo ardhi tayari imekwenda na kiukweli mambo bado watauza kila kitu na watachukua kila kitu,na mbaya zaidi watu wengi mnakosa maamuzi ya kutenda kile tunachowaza au kunena,muitike pale tunapowaita kwenye maandamano ya kudai haki na siku nyingine maandamano ya kuutoa utawala dhalimu wa sisiemu
   
 11. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  singida bado mpo mwaka 1959
   
 12. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Singida amkeni nchi(ardhi) yenu inakwenda kwani hapa Tanzania 'wawekezaji' wanapewa bila ardhi bilakufuata utaratibu au kwa utaratibu uliopindishwa. Ndoa na CCM ni lazima ife
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Thubutu ujinga huo huwezi fanywa tarime,moshi,mbeya,kagera,meru pangechimbika singida ndio mkoa unaongoza kwa umaskini pamoja na kuwa na upepo wa kuzalisha umeme wa kutosha mkoa mzima,alizeti,pamba,vitunguu,asali,mbao za mninga ndago na dhahabu sekenke
   
 14. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii ndio Tanzania bana!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Umetutukana wanasingida ingawa kuna ukweli
   
 16. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa mkoa huo ana record inayotia shaka!
   
 17. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mwe! inabidi kukomaa mpaka kieleweke, punde si punde watu watakuwa wakimbizi ndani ya nchi yapo
   
 18. M

  MADORO Senior Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni aibu tupu lakini ipo siku kitaeleweka tu.
   
 19. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huyu si ni yule rafiki ya huyu bwana anayeshinda makanisani kujitakasa?
   
 20. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ahaaa! wabongo bwana tofauti na watoto waliozaliwa jana hakuna. Huyo kijana anachoreka mwisho wa siku ataonekana mchonganishi.

  Ngoja tuone inakuwaje?
   
Loading...