Jifunze intelijensia( civil intelligence society of africa(cisa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jifunze intelijensia( civil intelligence society of africa(cisa)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hirorobert, Nov 20, 2011.

 1. hirorobert

  hirorobert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot]Wakubwa wa jamvi mimi sio Yule aliyesema ana intelligence unit yake anatafuta watu na habari ,ni heading tu ila napenda wale wote waliopenda sana kujifunza itellijensia hili ni somo la kwanza tulilopewa wakati huo Â…haya majibu hapa chini sio nliyoyasema kipindi hicho ila nlitaka na ww u imagine ndo ungekuwa kwenye training ungesemaje/ongeza maoni yako:[/FONT]
  [FONT=&quot]Swali lilisema hivi kwanza badilisha hili swali liwe katika lugha ya kiingereza[/FONT]
  [FONT=&quot]Swali: unganisha namba tatu(3) na matukio ya kijamii,baada ya kuibadilisha hiyo sentensi sasa Jibu,[/FONT]

  [FONT=&quot]Leo HII mimi ningesema hivi:-[/FONT]

  [FONT=&quot]Mitandao ni mitatu inayosumbua (TiGo,zain na Voda)[/FONT]
  [FONT=&quot]Tarehe zimefungana tatu mwaka huu(11/11/2011)[/FONT]
  [FONT=&quot]Kisiasa (CCM)kuna magamba matatu ya kuvuliwa(EL,RA,EC)[/FONT]

  [FONT=&quot]Kuna wazee wetu (wanasiasa)-wanashindwa kunyamazia mambo yanayoendelea kitaifa,warioba,kitine,salim[/FONT]
  [FONT=&quot]Mambo ya bungeni kichefuchefu(Jairo,luhanjo,ngeleja)[/FONT]
  [FONT=&quot]AFYA:-serikali ilipeleka watatu india(Mwakyembe,zitto,prof;mwandosya(wengine walienda na mifuko yao-chami)[/FONT]
  [FONT=&quot]Serikali tatu chali.Misri,Tunisia,Libya[/FONT]
  [FONT=&quot]Kuna watatu waliaminika maaarufu kivita hawapo(osama,ghaadafi,saadam Hussein)[/FONT]
  [FONT=&quot]Kuna mitandao mitatu mikubwa ya kijamii(Twitter,facebook na Myspace)[/FONT]
  [FONT=&quot]Kuna namba tatu ambazo zinahusiswa na free masson(666)
  ha ha ha ha ha SERIKALI TATU ndo mfumo uliopendekezwa tangu Ile tume ya nyalali
  Kuna MARAIS wastaafu watatu kabla ya JK
  Wakubwa karibuni...
  [/FONT]
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  ndio intelijensia hiyo? sasa fafanua kikosi 2858 inamaanisha nn
   
 3. koo

  koo JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kikosi 2858 nihiki hapa
   

  Attached Files:

Loading...