mdahalo movenpick:mh Tundu Lisu akinifurahisha,upinzani Zanzibar umekufa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mdahalo movenpick:mh Tundu Lisu akinifurahisha,upinzani Zanzibar umekufa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by boybsema, Nov 20, 2011.

 1. b

  boybsema Senior Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mh Tundu Lisu,amenifurahisha sana alipotamka waziwazi mabadiliko ya kumi ya katiba ya Zanzibar iliyoweka serikali ya umoja wa kitaifa,imeuwa upinzani kwa kwa CUF kuunda serikali pamoja na mabwana zao CHAMA CHA MAGAMBA.
  Mhh.mnyaa anabisha hili,
  wadau nawasilisha
   
 2. h

  hmzuyu Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu si wasikilize?
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wanalusha kweny kituo chochote cha radio au tv
   
 4. b

  boybsema Senior Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wanarusha star tv,
   
 5. K

  Kandukamo Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Channel gani kipindi kinarushwa wana JF?
   
 6. b

  boybsema Senior Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mh Tundu Lisu kachafua hali ya hewa pale aliposema, ikiwezekana iundwe serikali tatu, kama wazanzibar na watanganyika watapiga kura ya maoni kukubali mfumo wa serikali tatu, na si mbili kama ilivyo sasa!
  cUF wamecharuka kama mbogo, hadi pale naibu katibu mkuu Mtatiro alipowatuliza wafuasi wake! mh Mnyaa nae kakubaliana na Tundu Lisu aliposema ilikuwa ni sera yao tangu 1992! Na hajui enzi hizo PIPOZ POWER walikuwa wapi!
   
 7. b

  boybsema Senior Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kipindi kinarushwa STAR TV wanajf
   
 8. M

  Mr. Clean Senior Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tundu Lisu, kweli ni mpambanaji, katoa mada hadi cuf ccmB wakaanzisha fujo! kawamaliza kuwa cuf hawawezi kupinga mswada kwani wamwshafunga ndoa na ccm!

  MDAHALO UPO STAR TV-MovenPick.
   
 9. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo lisu anabezi sana uchama,, naona haelewi sayansi ya siasa ,,
   
 10. b

  boybsema Senior Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mnyaa nae kapingana na Lisu,kwa kukubaliana na muswada uliopitishwa
   
 11. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jibu swali lisu, mbona hukujiuzuru kwenye kamati?
   
 12. b

  boybsema Senior Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hawezi kujiuzulu kwa sababu kila mbunge lazima awe kwenye kamati za bunge penda usipende! Na kuwa kwenye kamati ndo unajua uozo wa nchi
   
 13. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Aaaa star tv nao wanaboa sasa.
   
 14. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu kweli kama tusipoweka kando itikadi ya vyama vyetu hili zoezi la katiba litaenda vibaya haijapata kutokea,, Maana naona chadema wanaonyesha wazi kbs kuwa wana msimamo wa kichama hii ni hatari sana. Wanasiasa wa namna hii tuwaogope kbs.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Tunataka Serikali tatu
   
Loading...