Mdahalo Movenpick unataka kuhudhuria ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo Movenpick unataka kuhudhuria ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Nov 20, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya hapo.Milango itafungwa kumi na moja kasoro dakika 5 ngoma inaanza .Nitafute upate kadi yako asante .
   
 2. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mkuu unahusu nini mdahalo? Na washiriki ni JF pekee ama ni wote, je, unarushwa na chombo gani? Ama ni mdahalo wa ndani?
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  huo mdahalo ni wa nini isije tukakuta kumbe ni rostam aziz anahutubia aisee!
   
 4. Twaps

  Twaps Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  oya mdahalo unahusu nini weka kitu open isije ikawa vikao vya freemason...
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Maada ya mdahalo, tujuze tukutafute tukiwa na kitu cha kuchangia, kaka usijaribu kutuuzia mbuzi kwenye junia
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mkuu Halisi Tundu Lissu atakuwa ndani ya nyumba anajenga hoja ya kila kitu kilicho tokea huko Dodoma na labda ku suggest the way forward .CUF watakuwa ndani ya ukumbi kiongozi wao kukabiliana na Tundu na CCM wamechomoa .Itakuwa LIVE kwenye Star TV na Mwakitwange kama sijakosea jina lake ndiye muongoza mjadala .Naamini nimesha wajibu vyema ila hili tangazo liko hapa hapa lililetwa na mwana JF .Asanteni sana
   
 7. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ina maana c.c.m walifatwa wakachomoa kushiriki huu mdahalo? basi if it is Yes! vilaza wa mwisho hawa magamba.
  Kuna member mmoja humu JF jana alianzisha thread akimfananisha kamanda Lissu is like Lionel Messi.
   
 8. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu freemasons dini nzuri tu, mbona iyo dini yenu viongozi wako wanatumika kumsafisha EL?
  unachezea Freemasons wewe!!
   
 9. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mi nashangaa CCM wanakimbia na bado kuna mijitu hapa jamii forums inawatetea,cjui inafikir kwa ku2mia mgongo?ritz,rejao,mzee,mafilili shame on u,kazi yenu ubwabwa tu..
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Kadi zinapatikana bure au?
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  umesema 16:45 ndo itaanza enhee?
   
 12. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  swali zuri sana...tusije tukapoteza vocha kukupogia kumbe kadi zenyewe hatuna uwezo wa kuzinunua...weka hili swala la gharama open......
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu nimepewa nafasi 20 kwa kuwa mie mzee wenu hapa JF so as far as I know kadi ni bure sitamkiwa kiingilio na nime ambiwa mwisho wa kuingia ukumbini na wanatakiwa watu 200 mie nimepewa nafasi za upendeleo 20 na ni bure kwa heshima yangu so tuonane huko huko but confirm .
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Taarifa kamili ni kwamba Lissu wa Chadema na Mnyaa wa CUF na ndugu zao CCM .Kiingilio ni bure hakuna malipo hata senti itakuwa Star TV kama hutaweza kufika na itaanza saa kumi na moja kamili saa za Africa Mashariki
   
 15. i

  iphone Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani ningekuwa dar ningehudhuria hip mdahalo.
   
 16. s

  shukuru bon Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je mdahalo huo utaonyeshwa live kwenye luninga?ipi
   
 17. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Ni bure kwa "Heshima yako" au ndiyo utaratibu uliowekwa? Nafikiri hata Ngurumo ametangaza Fb the same issue kwenye ukurasa wake
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Itaonyeshwa na kituo cha STAR TV............Luninga nafikiri hiyo ya kwako ya sony ya kichina ya inchi 17 itaonyesha pia.
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni live star tv kuanzia saa 11 jioni.
   
 20. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  midahalo ya Tz haisaidi chochote hamna Action
   
Loading...