Kina Jairo wasipofikishwa mahakamani tuandamane. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina Jairo wasipofikishwa mahakamani tuandamane.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpanzi, Nov 20, 2011.

 1. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kamati ya bunge imethibitisha kuwa Jairo and Co waliiba, wasipofikishwa mahakamani nitaamini sheria hazikutungwa kwa ajili ya watu wote.
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Bila shaka ulimaanisha mahakamani badala ya mahakani!
   
 3. m

  muafaka Senior Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Very bad mentality that 'every problem faced by our society can be solved through' MAANDAMANO!!! Mtikila alipeleka shauli lake kuhusu mgombea binafsi through legal channels na aliweza kushinda, note that is just one person.
   
 4. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yaani hata Luhanjo anastahili kufukuzwa kazi ili anyimwe pensheni liwe fundisho la watu kusimamia na kulinda wizi wa mali ya umma
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Maandamano hayajawahi kuwa na matunda lakini kwa kuwa wewe unawashwa miguu fanya hivyo. Ukweli ni kwamba Rais atawanyoa kavu kavu.
   
Loading...