Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

We oppose them not because we hate them, we do not - for hate is a blinding force. We oppose them rather because they stand for everything that we hate. They have become defenders of a corrupt...
32 Reactions
65 Replies
5K Views
Ndg zangu wana jf, nimefuatilia mjadala wa suala la jairo leo bungeni. Wabunge wengi wa chama tawala, wameishia kusema kwa hofu na kushindwa kuweka wazi tatizo lilipo hasa. Katibu mkuu kiongozi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mon, Nov 21st, 2011 Mon, Nov 21st, 2011| Tanzania Tanzanian Bunge (Parliament) in Dodoma The Parliamentary Select Team formed to establish legitimacy of collection of money to finance the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Saturday, 19 November 2011 Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja Bungeni Dodoma jana KAMATI ya Nishati na Madini ya Bunge imeanika uozo katika uendeshaji wa sekta ya gesi nchini, huku...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Naomba nikukumbushe Maalim Seif na CUF yako kuwa, hasa wewe Maalim, ni msaliti wa watu waliokufa wakipigania hoja ulizokuwa unazisimamia. Ni hakikka kuwa waliokufa zanzibar 2001 hawakufa ili wewe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sun, Nov 20th, 2011| Tanzania Bumbuli Member of Parliament January Makamba Alarmed by the contents of the Parliamentary report tabled on Friday this week, which nailed the Pan African...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati mwingine ni vizuri kurudi nyuma kidogo na kukumbuka tulikotoka labda tunaweza kujikumbuka kidogo. TULIKOTOKA.
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Sunday, 20 November 2011 20:58 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini,January Makamba Neville Meena, Dodoma KAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imefichua njama nyingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF hebu tuchangie hapa kuna yoyote anayeona kukosekana kwa Dr.Slaa bungeni kuna pengo linaloonekana katika kuchangia na kupitisha hoja mbali mbali bungeni?? na je ingekuwaje angekuwepo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mhe.Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea...
3 Reactions
55 Replies
10K Views
  • Closed
Born in 1972, Saif (pictured right) is the oldest of seven children. He earned an engineering degree in Libya and a business degree in Austria before wrapping up his education with a master's...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Sababu za ccm kusema chadema wanafadhiliwa na Ujerumani ni kwamba: 1. Viongozi wa chadema wanafanya ziara za mara kwa mara nchini ujerumani. na kwamba lengo la ujerumani ni kuiingiza chadema...
6 Reactions
72 Replies
8K Views
Viongozi wanaoanzia na jina hili wanaonekana kuwa na matatizo makubwa kwenye uongozi wao 1 David Cameroon 2 David Jairo 3 David Balali ongezea mengine
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Leo nilipata tabu sana hata kunyanyuka kitini kwenda haja ndogo wakati mjadala wa ripoti ya Kamati Teule ya Nishati na Madini ukiendelea. Niliufuatilia tangu mwanzo hadi...
9 Reactions
70 Replies
6K Views
Najaribu kuuvutia picha muujiza huo. Ikiwa akagombea na kupenyezwa na chama chake. Tutaficha wapi nyuso zetu?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili neno limetumika mara nyingi sana na Mh. Tundu Lisu kwenye mdahalo pale MovenPick na hivyo kuonesha kero kwa Mh. Mnyaa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa wabunge wengine, akiwa bungeni anaongea kwa kujiamini na haogopi.una maoni gani kuhusu ujasiri wa mama huyu
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanajf naona mbunge wetu lisu anaendelea kuwaburuza wabunge wote wa bunge la tanzania. Nimesukumwa na hoja ya kwamba ana uwezo wa kusimamia anachokisema(hateteleki),jana amenifurahisha sana pale...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Wa jf nisaidieni ili nijue kama kweli balaza la wawakirishi zanziber walipinga mswaada huo na kama ndo ivo kwanini hawa mps wanaotoka znbr wameukubari?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…