Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama kinachotawala Afrika kusini (ANC) kinakaribia kuanzisha sheria ya kishetani inayohusu kulinda siri za serikali ambayo inapingwa vikali na wanaharakati akiwemo mshindi wa tuzo ya amani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh Abou Jee kuna uhalali gani wa Katiba hii wakati mshirika wa huo Muungano wenyewe kizani(hayupo)?.Written by Hassan10 // 22/11/2011 // Habari // No comments Mh Aboubakar acheza na Nyoka...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf;ni nini itakuwa hatma ya ccm endapo Lowasa,chenge,sitta wataondolewa chamani?je kitapata mvuto kwa watz?kuchukua hatua hizo ni sahihi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi, kwa taarifa nilizozipata toka kwa wafanyakazi wa chuo kikuu cha Dodoma, wamefurahia sana namna ambavyo CAG na Katibu kiongozi walivyoumbuliwa na kamati teule ya bunge. Furaha...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Kabla sijaanza kutoa maoni yangu naomba ninikuu moja ya vyombo vya habari vya hapa nchini. Japo siyo lazima tuamini kila kinacho andikwa na magazeti yetu naamini kuna badhi ya taarifa ni muhimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Kenya anategemewa kufungu Jengo la Uchumi Ijumaa hii.Jengo hilo linamilikiwa na mfanya biashara Yusuph Manji.mia
0 Reactions
17 Replies
2K Views
mara baada ya bunge kumaliza kupiga kelele juu ya luanjo, binafsi amesema awezi kutoa coment yoyote kuhusu kauli za wabunge, lakini ngazi yake si ya kujadiliwa na mtu mwingine isipokuwa rais wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa kaulizwa kuhusu alsababu kajikanyaga we inaendelea
0 Reactions
6 Replies
2K Views
22 NOVEMBER 2011 *Taarifa ya Kamati ya maadili yaumiza kichwa wajumbe Na Pendo Mtibuche, Dodoma MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Jakaya Kikwete, amefungua kikao cha Kamati Kuu ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
VYOMBO vingi vya habari leo vimechapisha habari ya kustaafu kwa David Mattaka, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL). Kiongozi huyo wa shirika hilo, aliitisha mkutano wa waandishi wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuesday, November 22, 2011, 5:44 Habari kuu, Mtanzania *Nape hatarini kung'olewa uenezi *JK ajipanga kuvunja makundi, mahasimu *Wasiwasi watanda, kila mmoja na utabiri yake Na Mwandishi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Akiongea na gazeti la mwananchi katibu mwenezi wa CCM Nape Amekanusha kuwepo kwa ajenda ya kuufuta umoja huo katika vikao vya chama huko Dodoma. Nionavyo, kwa hali ilivyo hivi sasa katika chama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Ndugu zangu Kitendawili kimetegwa nani atakitegua. Chama cha Mapinduzi kimetaka kutumia madaraka na wingi wake kufanya kile ambacho hakikuwa na hakijawahi kuwa ndani ya...
30 Reactions
57 Replies
6K Views
Ndugu Watanzania Wany'onge, Nina masikitiko makubwa kwa hayo ambayo yanatendwa na walioshikilia dola. Kusomwa kwa mara ya pili kwa mswada na kushindwa kuwasikiliza walio wengi (Watanzania) kwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
I was listerning to kipindi cha Jambo in which the AG of Tanzania and Mzee Waziri Wassira were interviewed by a TBC 1 staff on the issues related to Muswada wa Sheria ya Kubadilisha Katiba...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Nilikuwa nikuatilia kwa umakini sijakutana na maeneo yanayoongelea sera ya uchumi wa taifa kwa ujumla badala yake wameyapa nguvu zaidi sera za kisiasa wakati ili uwe na siasa safi na uongozi bora...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is very concerning and disheartening that our members of parliament can not truly come together for the sake of the nation and have a civilized and constructive debate on how to construct this...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tue Nov 22, 2011 12:50pm GMT JOHANNESBURG Nov 22 (Reuters) - AngloGold Ashanti , the world's third-largest gold producer, said on Tuesday it expects capital expenditure to double to $1.5...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Rais Zuma: Afrika Kusini inakabiliwa na maandamano kupinga muswada tata Maandamano ya kupinga muswada wa sheria wenye utata kuhusu kulinda taarifa za siri za serikali yameanza katika miji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nini maoni yako kuhusu hili kosa la wabunge wetu WOTE? Naungana na wanaosema hili kosa, lazima Rais wetu alisahihishe kwa kutokuweka sahihi iwe au bila mbwembwe hii katiba. Swala lianze upya kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…