Mbao Kushuka bei au ni Siasa?!!

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Waziri Ezekiel Maige alivyokuwa Rombo wiki 2 zilizopita alisema Mbao zitapunguzwa bei ili wana vijiji wanaoishi rombo na karibu na misitu wasivune miti kwa ajili ya ujenzi. Itatekelezeka?? Hakutoa time frame....



Pia leo nimesikia leo radio one, kuna mradi wa misitu umeanzishwa na SUA wa kupanda miti asili.. Wananchi watapewa miche ya miti asili ili wapande. Kwa nini mradi kama huo usienezwe nchi nzima??
 
Dhamira tu! hakuna sida kama mbao zitapungua bei kama alivyosema waziri! Pia mradi wa kupanda miti ya asili ni jambomuhimu na sisis wananchi tunangojea kwa hamu kubwa!Jambo la msingi hapa ni uzalendo! sio leo mbao zishuke bei kwa lengo la kuinua maisha ya mwananchi wa kawaida pale Rombo,halafu shehena za malori zionekanekane zikivusha mbao kwenda Kenya na kwingineko.
 
Back
Top Bottom