Rais Kikwete aanza kupokea maoni ya katiba mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete aanza kupokea maoni ya katiba mwenyewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Technician, Nov 24, 2011.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WanaJF,
  Kwa hali ya uudwaji wa katiba mpya unavyokwenda ni wazi kuwa itakuwa
  ni muendelezo wa usanii unaofanywa ili ifikapo 2015 tuwe tumechelewa
  kuunda katiba mpya aidha tupate katiba isiyokuwa na tija kwa watanzania
  wote Kisiasa,kiuchumi,kiutamaduni na kisanyansi pia.

  Kama ninavyoelewa mimi KATIBA ni ya wananchi wote bila kujali jinsia,uchumi wa
  mtu na mtu,madaraka aliyokuwa nayo kwa wakati huo.

  Inashangaza sana kuona Rais anachukua hatua za awali sana za kuanza kukusanya maoni
  kupitia kwa taasisi zilizopenda kutoa malalamiko yao kuhusu uundaji wa tume ya kukusanya
  maoni.yaani CHADEMA.

  Leo ni Chadema,Kesho CUF,na kesho kutwa NCCR-Mageuzi,mtondogoo TLP na wengine wako kama 20.
  mimi nasema huu ni usanii wa kupindukia na hatutakubali kuburuzwa kwa njia hii ya uwakilishi bungeni.

  MAONI YANGU:

  Raisi asijihusishe kabisa kwenye kukusanya maoni ya uundaji wa tume ya kukusanya maoni.
  ITAMGARIMU.(It will cost him) PERIOD.
   
 2. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Katiba ni ya Rais au ya wananchi wote, na kama ni ya Wananchi wote huoni kwamba anapaswa kusikiliza maono ya watz, fikiria kidogo kabla hujapost mkuu.
   
 3. B

  BigMan JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  umekuwa mrithi wa marehemu sheikh yahya ?
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kwa maoni yako. Tutayafikiria kwenye katiba mpya !!
   
 5. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  rudi tena kafanye homework yako.
   
 6. mkada

  mkada JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  mambo haya ni ubatili mtupu,watz tufanye kazi mambo ya siasa yatatupotezea muda,tufanye kazi kwa bidii watoto wetu waende shule,tujenge na tuwe na maisha mazuri,hatuna nguvu ya kupigana na hawa watu,tukubali imekula kwetu,vizazi vyetu vijavyo vitajaribu kupambana.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama mtanzania haki yako kutoa kutoa maoni
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haujasomeka kabisa mkuu.....
   
 9. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  si kosa lako, lawama zimwendee aliekusaidia kujiunga huku jf.
  Bwana alitoa na bwana atatwaa jina lake lihimidiwe.
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  JF wanachelewa kutuwekea ukurasa maalum wa maoni ya KATIBA mpya. Naamini humu kitatoka kitu kizito.
   
Loading...