kingfish
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 571
- 159
Inasikitisha sana kwa kila mtanzania kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma katika wizara ya nishati kama kamati yeule ya bunge ilivyothibitsha.pia sikubaliani na wale wabunge waliowatetea ngeleja na malima wasijiuzulu kwa madai kuwa mfumo wa wizara unampa mamlaka makubwa katibu mkuu wa wizara.hawa jamaa wajiuzulu kwa sababu walipokea entertainment allowance ya sh.4,000,000 ambazo zilikusanywa nje ya utaratibu wa serikali.kama hawataki kujiuzulu tunakuomba rais uwawajibishe.