CCM yamshauri Kikwete kuhusu CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yamshauri Kikwete kuhusu CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dubu, Nov 23, 2011.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kikwete kashauriwa kukutana na vyama vyote vya Upinzani sio CHADEMA tu. ccm wameyasema hayo katika Mikutano yao inayo endelea dodoma. over
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kikwete anatakiwa ajaribu ku act as the president, not the magambaz chairman!

  Walioandika barua chadema, halafu hao wapumbavu wa magamba wanapendekeza eti akutane na vyama vyote vya upinzani wapi na wapi!
  Nadhani wanapendekeza hivyo kwa sababu vyama vingine vya upinzani ni warembo wa ccm!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wanajua Prof. Lipumba yuko wapi? Na wakimpata anajua nini kinaendelea Tanzania?

  CCM waache kufanya siasa za mezani. They are completely out of touch!
   
 4. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  hivyo vyama vingine vimeomba kukutana nae au ccm wanlzimisha?
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hofu ya nini?
   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu. Jiulize akutane na CUF,TLP ya Mrema na UDP ya Cheyo kuzungumzia nini wakati haya ni matawi ya CCM na wameunga mkono muswada. Na ushauri huo wanatoa akina nani? Hawa waliorusha matusi,kashfa na kejeri ktk bunge wiki iliyopita?
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kwani hao wapinzani wengine wameomba kukutana naye JK? au kwani hiyo idea ya kukutana imetoka chadema ama imetoka kwa JK??
   
 8. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanataka mke wao CUF, na nyumba ndogo TLP na UDP pia wawepo.
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi ukiwa CCM akili zinafyatuka kidogo? CDM ndiyo waliosusia bunge pamoja na NCCR na walioona umuhimu wa kukutana na rais ni CDM kama njia ya amani badala ya kuitisha maandamano yasiyokwisha!

  Au wanaona CDM wanapaa zaidi kukutana na rais?
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Moja ya lengo la Chadema ni kumshauri asisaini mswada sasa lengo la CUF litakuwa nini kama wao walishaupitisha bungeni, au CCM wanafikiri CDM wanaenda kunywa chai, kama wanataka vyama vyote basi na wao CCM wawepo.
   
 11. s

  sanjo JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  CCM wamshauri kuwa Rais mzuri hukumbukwa kwa kuitendea nchi yake mambo makubwa kama kuimarisha uchumi, kuiletea katiba nzuri ya kuwahusisha wananchi walio wengi.
   
 12. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ni sawa na Cameron ashauriwe na chama chake cha Conservative akutane na vyama vyote vya upinzani. Je, chama cha Liberal Democrat nacho kitakuwa kwenye kundi la vyama vya upinzani?
   
 13. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ...Ndiyo unapoona umuhimu wa hizi kofia mbili kutenganishwa- Rais na Mwenyekiti wa Chama....
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu haya maajabu ndio ya Firauni...hivi vyama vimejaa watu mbumbumbu kabisa. Vyama vingine viende kumwona ili iweje ikiwa hoja ya kuwalikisha mawazo ya Upinzani wa muswada ndilo jukumu kubwa la Chadema..Ujinga mwingine jamani hauna kipimo na kazi kubwa sana kuufuta..
   
 15. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Nahindwa kumwelewa Nape. Km wanataka na viongozi wengine wamwone Jk kwa suala la katiba kwa namna fulani wanakiri kuwa ule muswada una shida. Huu ni ukweli wa kimantiki. Tatizo la Nape ni ku desa kila kitu kama alivokuwa anafanya India. No logic nimemwona anaongelea hili suala ITV yani ni aibu. HUYU JAMAA NI KIONGOZI KWA SABABU AMEWEKWA ILA HAKUNA KITU
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Tusaidiane kuondoa magamba haya...vyana vingine tunajua wachumba tu sasa nao waende kuongea nini wakati wao na ccm ni lao moja yaani ndio mzee? Hatutaki....chama cha ukombozi tz ni kimoja tu
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mara mumpuuze Jk, mara mlalamike kama vile hamtaki kukutane naye kisha mnalilia kukutana naye peke yenu. kweli Jk ni Rais wa wote kashika mpini
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jk bado hajasema kitu kama kakubali ushauri wa nec au la lakini waliozoea kuandamana wanataka kuandamana
   
 19. c

  chegreyson JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Jamani CCM kushauri siyo kitu kibaya,maana mwenye uamuzi wa mwisho ni rais mwenyewe, ambaye kimsingi amewakaribisha CHADEMA Ikulu.Hivi hapa tatizo ni nini, au watu wanataka kusikika tu, tuwe na uvumilivu wa kumsikiliza mwenzako na sio ku pre judge ya kuwa CHADEMA tu ndio wenye uwelewa wa kila jambo kila wakati.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  umesema kashauriwa anaweza kukubali au kukataa
   
Loading...