Kamati hii ya CDM isiyojumuisha akina mama; IKO WAPI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati hii ya CDM isiyojumuisha akina mama; IKO WAPI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Nov 23, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kamati hii ya CDM isiyojumuisha akina mama thread yangu imeenda wapi?
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wenyewe wameshainyonga.
   
 3. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbowe, Lissu, slaa, Arfi, said mzee, prof safari, prof Baregu, hao wote ni watu wa maslahi, wamechaguana wote wajanja hakuna wa kumzidi mwenzie fungu likitoka.
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nape at Work!
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Mbona sijaona padri au shekha mwanamke?mungu mbaguzi?
   
 6. F

  FredKavishe Verified User

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkianza kulalamika waweke mwanamke'walemavu nao wataka muakili wao tuache hyo hyo kamati ndogo iende haya maneno sijui ya gender balance ndo yanatucost bungeni kwa mama makinda
   
 7. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahsante! Wanatafuta cha kuongea. Kama kusingekua na muislamu kwenye kamati ndn wangeimba mpaka kuchwili! 28-58 Over
   
 8. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Hpana mkuu sio mbaguzi, anamakusudi, viongozi CDM, MISIKITINI/MAKANISANI sio Miungu bali ni mfano wa Mungu kama ulivyo wewe katika Uumbaji wake... acha niitoe CDM katika list ya hizo taasisi nlizotaja ili kina Nape wanielewe kwenye majibu ya Swali lako
   
 9. S

  STIDE JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Siku nyingine mtauliza hivi, "CHADEMA, KAMATI ISIYOHUSISHA VIPOFU IKO WAPI?"
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kama imefutwa, Mods watakuwa wamefanya la maana sana...haikuwa nalamaana zaidi ya lugha chafu
   
 11. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...ktk hili swaala la katiba,hakuna kulemba,hakuna kubembelezana,hakuna kuchekeshana na upuuzi wa aina nyingine yoyote...ndo maana CHADEMA tumeamua kwa makusudi kabisa ujumbe huo upelekwe na watu wazima....CHADEMA: "hatumwi mtoto dukani!"....
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Porojo tu hizi.
  Gender balance ya viti maalumu pale bungeni imeleta maslahi gani kwa mama zetu wanaoendelea kutaabika kila uchao.
  Na wewe una demand kuitwa great thinker? Unafaa kuitwa great sinker.Kimsingi tunaangalia uwezo wa mtu ktk jambo
  fulani bila kujali jinsia yake.

  Tena mod ameku favour sana. Ulitakiwa kupata ban japo kwa siku 7 tu, ili ujifunze.
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ungezaliwa Butiama ungekuwa Nyerere... Tumezoea kulazimisha balance zisizo na tija, hivi yule mama albino bungeni ameleta badiliko gani so far kwa maisha ya walemavu wa ngozi?
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kuanzia lini chadema wakatupa kipaumbele sisi wanawake? hiyo ni sera ya ccm imekubarika sana miongoni mwa sisi akina mama. wao chadema watasema JK anatembea na sisi wanawake wote.... ndio jibu lao kwa wepesi. hata wafuasi wa chadema hawaoni umuhimu wetu wanawake angalia mchango wao kwenye thread hii utagundua kuwa wanatutumia tu baadhi yetu ili wafike wanakotaka kufika
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  tukidai hali yetu chadema watasema nenda ccm utadhani hakuna akina mama chadema
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa watu wanaojua kufikiri vema na kusoma alama za nyakati ilikuwa ni muhimu sana chadema chama cha magwanda kuchagua kamati yenye angalau wanawake wawili kwenda kumuona mwenyekiti wa magamba
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sina maana chadema hawana wanawake katika ngazi za maamuzi lakini hawajafanya vema kulingana na matarajio ya wakati
   
 18. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  great sinker
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmetuletea jinsia bungeni matokeo yake tumeyaona.
  wanawake chini ya ccm wanasema wakiwezeshwa wataweza chadema inasema wanawake wajisimamie wanaweza.
  hii vita ya ukombozi ni tofauti kidogo nyerere alijaribu kukomboa na akina bibi titi ila kwenye safari walitofautiana,chadema wanasema kila askari mwenye uwezo abebe silaha kama ni wanaume peke yao poa kama ni kina mama peke yao swadakta.
  tumeshuhudia jinsia zikitumika kama cv ccm na matokeo yake tumeyaona,kwenye hili wenye mawazo mgando mtusamehe.
   
 20. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wamefanya vizuri kwani baba RIZ1 asingekuwa makini kwa kifupi president angepoteza umakini katika kujadili hili suala muhimu kasasababu yao wanamfahamu
   
Loading...