Jukwaa la Katiba latangaza Maandamano ya amani nchi nzima

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
MUUNGANO wa Asasi za kiraia zinazounda Jukwaa la Katiba hapa nchini, umesema mpango wa maandamano yasiyo na kikomo kupinga muswada wa mabadiliko ya katiba kusomwa kwa mara ya pili uko palepale na sasa wanatarajia kutoa utaratibu wa kutimiza adhima hiyo kesho.

Akizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Deus Kibamba alisema kikao cha Kamati Tendaji kilichokaa juzi kilibariki maazimio yote yaliyokwishatangazwa awali na kusitiza kuwa kesho kitatangaza hatua za utekelezaji wake.

"Kamati tendaji iliyokutana jana (juzi) ilijadili kwa kina hutoba zote za viongozi, ile ya Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Katiba na Sheria, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na ya kambi ya upinzani bungeni," alisema Kibamba na kuongeza;

"Baada ya kupitia yote hayo kamati hiyo ilibariki maazimio yote yaliyokwishatangazwa hivi karibuni kupitia vyombo vya habari na siku ya Jumanne (kesho) tutatoa tamkoa litakalohusu utaratibu utakaotumika kutekeleza adhima hiyo," alisema Kibamba.

Novemba 14 mwaka huu, jukwaa hilo liliitisha kongomano la Katiba jijini Dar es Salaam na kuelezea adhima yake ya kuitisha maandamano nchi nzima endapo Serikali ingepeleka muswada huo kusomwa kwa mara ya pili bungeni.

Pia likatumia fursa hiyo kuonya wabunge ambao wangeunga mkono na kupitishwa muswada huo uliosomwa kwa mara pili kuwa lingetangaza majina yao haradharani kama wasaliti wa wananchi waliowachagua.

Source: Mwananchi
 
I am sick and tired na hii serikali ngoja safari hii tupimane ubavu. Sitorudi nyuma ndugu zanguni na nitashiriki haya maisha ni mafupi hata nisipokufa leo nitakufa kesho. sasa watu wachache wasizulumu haki zetu kwa kipindi kifupi hiki cha maisha yetu.

kila la kheri Deus niko pamoja nanyi.
 
Ila inabidi wawe/tuwe ng'ang'ari kwelikweli ....isije ikawa kama yale ya Dowans yaliyositishwa kwa hofu ya Al Shaabab!
 
nashauri haya maandamano kama yataanzishwa yawe strategical kwa mipangilio inayoeleweka. Ikiwa na maana kwamba hata pale yatakapopigwa mabomu tuwe na jinsi ya kujipanga (regroup) katika muda mfupi. Na pia uwepo mfumo unaoeleweka for instant update ambao najua kulingana na technology ya sasa sio rahisi oppressors kuuzuia
Ila inabidi wawe/tuwe ng'ang'ari kwelikweli ....isije ikawa kama yale ya Dowans yaliyositishwa kwa hofu ya Al Shaabab!
 
Serikali yetu haijali wananchi ndiyo sababu haitaki kuwasikiliza,ningependa jukwaa la katiba liwatangaze wabunge wote waliopitisha huo mswaada kwamba ni wasaliti wa Wananchi waliowachagua.
 
Nchi hii imejaa majitu maoga hata tukisema tusonge mbele watajitokeza watu wachache sana
 
Nasubiria hyo tarehe tu maana nmechoka kweli bora nife ijulikane nilikufa kwa sababu ya kudai haki ya Mtanzania,nmechoka kweli na hii serikali ati watu wanatuibia malioni wanatesa kwenye Office za serikali wakati masikini wezi wa bata,kuku,wezi wa simu wanafungwa huku mtaani wakuu inauma sana
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke. hawa wabunge wa CCM na hawara yao CUF ndiyo chanzo cha vurugu kwani walishasema kuwa wanalolitaka wao lazima liwe kwa kuwa wanayo dola, na atakayewapinga atakutana na mabomu. Ni wakati sasa JK na genge lake la watukanaji (wabunge wa CCM) waelewe kuwa nguvu ya umma ni zaidi ya risasi za moto na mabomu ya machozi wanayoringia.Siku zote watawala madikteta hutegemea sana silaha kubaki madarakani na ndivyo ulivyo utawala wa ki-imla wa JK na CCM yake.
 
:tongue:Ninawatakia kila la kheri sasa sijui sisi ambao tuko kijijini tufanye je kabisa.?bon voyage
 
Muda si Mrefu "Mfia Nchi" Deusi Kibamba na wenzake wataambiwa ni chadema B,Na chama cha wanasheria ni Chadema C na .......ni chadema D.........

Songa mbele! tusirudi nyuma!
 
MUUNGANO wa Asasi za kiraia zinazounda Jukwaa la Katiba hapa nchini, umesema mpango wa maandamano yasiyo na kikomo kupinga muswada wa mabadiliko ya katiba kusomwa kwa mara ya pili uko palepale na sasa wanatarajia kutoa utaratibu wa kutimiza adhima hiyo kesho.

Akizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Deus Kibamba alisema kikao cha Kamati Tendaji kilichokaa juzi kilibariki maazimio yote yaliyokwishatangazwa awali na kusitiza kuwa kesho kitatangaza hatua za utekelezaji wake.

“Kamati tendaji iliyokutana jana (juzi) ilijadili kwa kina hutoba zote za viongozi, ile ya Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Katiba na Sheria, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na ya kambi ya upinzani bungeni,” alisema Kibamba na kuongeza;

“Baada ya kupitia yote hayo kamati hiyo ilibariki maazimio yote yaliyokwishatangazwa hivi karibuni kupitia vyombo vya habari na siku ya Jumanne (kesho) tutatoa tamkoa litakalohusu utaratibu utakaotumika kutekeleza adhima hiyo,” alisema Kibamba.

Novemba 14 mwaka huu, jukwaa hilo liliitisha kongomano la Katiba jijini Dar es Salaam na kuelezea adhima yake ya kuitisha maandamano nchi nzima endapo Serikali ingepeleka muswada huo kusomwa kwa mara ya pili bungeni.

Pia likatumia fursa hiyo kuonya wabunge ambao wangeunga mkono na kupitishwa muswada huo uliosomwa kwa mara pili kuwa lingetangaza majina yao haradharani kama wasaliti wa wananchi waliowachagua.

Source: Mwananchi

Duu! Mie nimeipenda hiyo kauli ya mwisho kuwataja wabuge wote waliounga mkono muswada huo kama wasaliti kwa wapiga kura wao. Tunasubiri mpango mkakati wao ambapo jukwaa la katiba utawakilisha kwa wananchi.
 
Serikali yetu haijali wananchi ndiyo sababu haitaki kuwasikiliza,ningependa jukwaa la katiba liwatangaze wabunge wote waliopitisha huo mswaada kwamba ni wasaliti wa Wananchi waliowachagua.
...tukiisha wajua kwa majina na-tupige atua moja mbele,tuwatenge, tuwazomee na tuwazodoe wao na familia zao kila tutakapo waona kuanzia huku mitaani tunapoishi nao kama walivyo-wafanyia watetezi wetu wa ukweli akina Tundu Lisu...
 
Kwa anayefahamu yanayotendeka ichi hii lazima ataunga mkono kwa maslahi ya wengi kwa mfano mtaani kwenu kuna watu wangapi walio jela walipelekwa kwa kosa ka kuiba,uvutaji bangi lakini wamefanya haya yote kwasababu ya maisha magumu yaliyosababishwa na selikaki sasa niambieni ni viongozi wangapi waliokua mafedha ya uma wamefungwa kama siyo kuwakuta mtaani sasa kwa misingi hi ya unyanyasaji wa masikini unaofanywa ni afadhali kufa leo nikidai haki ya wanyonge kuliko kufa kwa malelia.
Aluta continue!!
 
[FONT="] MUUNGANO wa Asasi za kiraia zinazounda Jukwaa la Katiba hapa nchini, umesema mpango wa maandamano yasiyo na kikomo kupinga muswada wa mabadiliko ya katiba kusomwa kwa mara ya pili uko palepale na sasa wanatarajia kutoa utaratibu wa kutimiza adhima hiyo kesho.

Akizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Deus Kibamba alisema kikao cha Kamati Tendaji kilichokaa juzi kilibariki maazimio yote yaliyokwishatangazwa awali na kusitiza kuwa kesho kitatangaza hatua za utekelezaji wake.

"Kamati tendaji iliyokutana jana (juzi) ilijadili kwa kina hutoba zote za viongozi, ile ya Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa [SIZE=3]Katiba na Sheria, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na ya kambi ya upinzani bungeni," alisema Kibamba na kuongeza;[/SIZE][/FONT][/B][SIZE=3]
[/SIZE]
[SIZE=3] [/SIZE][B][FONT="]"Baada ya kupitia yote hayo kamati hiyo ilibariki maazimio yote yaliyokwishatangazwa hivi karibuni kupitia vyombo vya habari na siku ya Jumanne (kesho) tutatoa tamkoa litakalohusu utaratibu utakaotumika kutekeleza adhima hiyo," alisema Kibamba.

Novemba 14 mwaka huu, jukwaa hilo liliitisha kongomano la Katiba jijini Dar es Salaam na kuelezea adhima yake ya kuitisha maandamano nchi nzima endapo Serikali ingepeleka muswada huo kusomwa kwa mara ya pili bungeni.

Pia likatumia fursa hiyo kuonya wabunge ambao wangeunga mkono na kupitishwa muswada huo uliosomwa kwa mara pili kuwa lingetangaza majina yao haradharani kama wasaliti wa wananchi waliowachagua.

Source: Mwananchi

[/FONT]

hii ndiyo lugha pekee iliyobaki.
kutu iliyganda kwenye vichwa na mioyo ya ccm (akiwamo mwenye kiti wao anayedai umasikini wa watz ni wa kuijtakia!) haiwezi kusafishwa kwa kile amabacho wengine hapa jf wanakiita eti "dialogue" au kujenga hoja. kujenga hoja ipi zaidi ya zile zilizokwishatolewa miaka nenda rudi (let alone hii ya juzi ya Tundu)??

kama watz hatuta-seize this unique opportunity to turn around the fortunes of this blessed nation, haitatokea nyingine ya aina hii tena!
 
Back
Top Bottom