Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanamke1, Nov 23, 2011.

 1. m

  mwanamke1 Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  > Nimegundua kinadada wengi sana wanataka kuwa wabunge ktk uchaguzi ujao, lkn hakuna hata mmoja mwenye nia ya kugombea jimbo, wengi wanatafuta kujiweka kwa wabunge wanaume wa sasa ili watoe kitu kidogo (ngono) wapate tiket ya kuingia bungeni...

  > naomba tusaidiane mawazo, ni njia ipi mbadala ya kumuwezesha mwanamke apate ubunge bila kungonolewa>>>

  >naomba wanaume baadhi ya viongozi (si wote) muache kuwangonoa kinamama kwa kigezo cha kuwapa ubunge, washaurini namna ya kupata hiyo nafasi bila kumsaula nguo zake.....mwe!
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Astaghafirulah x 3
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii post inafiti majukwaa takriban yote, siasa, mmu, chitchat, mchanganyiko, biashara, complaints

  agrrrr ..,

  hongera sana mwanamke1
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Sofia Simba na Anna Kilango (alipoanza kumvulia Malecela tu...........
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  wanajipendekeza ili wapate viti maalum
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kama hiyo njia wanahisi ni sahìhi, waache wakazwe.
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mnh. Kwa hiyo wale wamama/wadada wooote nao waonaga mle ndani wooote wale ni maji ga nyanja??
   
 8. m

  mwanamke1 Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  sasa tutakombokaje kama hali halisi ndo hiyo?? na ni kwanini wasingejengewa uwezo wa kiuchumi na kufanya kampeni??
   
 9. m

  mwanamke1 Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sangarara, simaanishi wote, lkn hali inapoelekea ni mbaya zaidi.. mfano wabunge wa viti maalum waliopenya mwaka jana, ukiwaangalia wana vigezo? na pia viongozi wengi hawana nia nzuri na viti maalumu, maana sasaivi wamewajaza viburudisho kibao pale, no mchango bungeni kazi ni kutoa burudani kwa wabwana zao
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wanawake wakiwezeshwa wanaweza
   
 11. m

  mwanamke1 Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  mzee nakuheshim, watatupeleka wapi kama taifa?? kama kukazwa ndo kigezo cha kuingia mjengoni??? mzee, ebu jipange upost tena
   
 12. m

  mwanamke1 Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  raia, huko ndiko kuwezeshwa kumbe? nadhani kama ndio maana yake, ni bora wangetuacha kama tulivyo...ndo maana mimi sikubaliani na hiyo sera ya yao ya kutaka kutungonoa kwa kisingizio kwamba mwanamke hawezi, SISI TUNAWEZA BILA KUWEZESHWA....
   
 13. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ndio maana bungeni machangudoa ni wengi.... Kama demu alikuwa ohio akatoa uroda vzuri anazawadiwa pesa, simu kali na sasa ubunge!
   
 14. m

  mwanamke1 Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HANRY, kwa kutoa kitumbua?? na hao viongozi wanaume hawatufai ktk faifa hili...wanawachakachua wanawake ili wawape nafasi bungeni, je huo ndo utawala bora?? angejiskiaje kama angefanyia mtoto wake, dada ake, mama ake, nk
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,627
  Likes Received: 4,731
  Trophy Points: 280
  Dama ndogo sana, ni kufuta viti maalum. Tusipoangalia mbele ya safari huko na mashoga watadai viti maalum.
   
 16. m

  mwanamke1 Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dk wa ukweli, ebu niambie tunakoenda ni wapi? tunataka wanawake wenye uwezo wa kujenga hoja na kutusemea matatizo yetu, sasa kama mtu kabanduliwa tu na kuingia kwenye nafasi nyeti kama hiyo, taifa litaacha kuwa GIZANI???????

  tunaitaji wanawake tena wengi sana 50% kwa 50%, lkn siyo hao wataalamu wa kuburudisha kwenye 6 kwa 6
   
 17. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ila ndio ukweli huuuuuuuuu siwanataka maisha ya mteremko ndio washateremka hvy ndugu yangu
   
 18. m

  mwanamke1 Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  *
  Dougls, yakitokea maandamano ya kudai kufuta viti maalum walah ntakuwa no 1- nyambaff
   
 19. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Mbona Getruda Lwakatare hana hoja Bungeni? tofauti na awapo Kanisani kwake. sijawahi kumsikia huyu mama akiwatetea wala kuwasemea wajane, mayatima na maskini wengine. Mama Mchungaji please uko kimya sana.
   
 20. m

  mwanamke1 Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina pa Kwenda, huu ni msiba au bomu kwa taifa hili, au we huoni?? ebu leta solusheni ndugu yangu, ikibidi kuandamana mimi nitakuwa wa kwanza, na kama vinaachwa basi watakaopata wawe na vigezo....

  sina maana kama ni vibaya hapana, lakini hofu yangu ni kwamba hata walioleta hiyo sera lengo lao halikuwa kumuweka mwanamke anaejua kutoa ngono vizuri....wapewe wanawake wenye uwezo na vigezo vinavyostahili
   
Loading...