Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

- Well, Katiba mpya and Katiba mpya wakati umefika wa kuondokana na Mawaziri kuwa Wabunge na pia Ma-RC wasiingie bungeni, na wanapoteuliwa na Rais, wakaidhinishwe na Kamati za Bunge za Wizara...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
nampenda mtufahamishe huyu mchumi nguli Prof IBRAHIM .H. LIPUMBA atarejea lini nchini? ili aje aendeleze mapambano ya katiba mpya, huyu jamaa mimi binafsi huwa namkubali ni mtu jasiri, na vitendo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Meya wa Moshi ULEVI wa madaraka umeanza kukisumbua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro Kutokana na mgogoro wa chini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watoto tuko mezani twangoja tu jamani. wakati hata wageni washakula jikoni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti kwa muda sasa na kugundua kuwa ukiondoa chama-dola (ccm) au mkoloni mweusi ambacho ni dhahiri kuwa kiko madarakani, Tanganyika na Zanzibar, kimabavu {i stand to be corrected}...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kipindi cha miezi miwili sasa imepita Tangu Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kutangaza ilichokiita Kujivua Gamba kwa Lengo Si la kuboresha Maisha ya Watanzania bali KUKINUSURU Chama Cha Mapindizi (...
9 Reactions
88 Replies
7K Views
Ndugu zangu watanzania, Nchi yetu inakabiliwa na matatizo mengi kwa sasa kiasi kwamba inayumba sana na tusipoangalia itaanguka milele na haitapata kusimama tena. Kama kuna mtu wa kuiokoa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni masikitiko ya wazi kuwa sasa hakuna tena jinsi! yule fisadi mkuu lowasa sasa ameshawanunua wapinzania wote, baada ya kuweza kununua kanisa kubwa na taasisi ya kanisa katoliki, safari ya lowasa...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Sources:Home Can lawyers, independently, enlighthen us on this? As it is now, the Constitution issue appears rather complicated as most people don't understand the 'yes' and 'no' of it. There...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona JF kama kawaida yetu tumeingia na vigele gele wakati ukweli ni kuwa MWAKYEMBE kama mwanasheria anajua fika kuwa kulikuwa na umuhimu wa kumhoji mtuhumiwa mkuu katika hili skendo bwana LOWASSA...
0 Reactions
287 Replies
33K Views
Wakili wa utetezi katika kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewashauri polisi kwenda shuleni ili kusomea sheria kwa ajili ya kuepuka kesi za kufikirika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
25 NOVEMBER 2011 Na David John KAMATI ya Kutetea Haki za Waislamu nchini, imeihadharisha Serikali kutojihusisha na mambo ya kidini hasa yanayohusu kundi la Al-shaabab kwa shinikizo la mataifa...
3 Reactions
92 Replies
9K Views
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab...
2 Reactions
221 Replies
20K Views
Chama cha CCM kiliwataka wanachama wake wanaotuhumiwa kwa kasha Mbali Mbali za Kifisadi wajichunguze halafu wapime na Wachukue Maamuzi ya Kujivua Gamba. Msingi wa Tamko la Kujivua gamba la CCM...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ofsi ya bunge imesema kuwa inawezekana kuufanyia marekebisho muswaada wa marekebisho ya katiba wa 2011 ama kuufuta kabisa endapo kutakuwa na sababu za msingi. Source.Gazeti la Mwananchi la leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili tunaambiwa lilitishiwa kufanywa na JK kama asingepitishwa na CCM kugombea urais 2005, likaja kurudiwa tena na samuel sitta baada ya kukabiliwa na kitisho cha kung'olewa kwenye uspika kabla ya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuhusu suala la Nishati nchini, Mukama alisema NEC imeiagiza Serikali kuhakikisha kuwa inapunguza bei za mafuta na hasa ya taa ambayo yanatumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Chanzo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pale mbele kuna picha za watu 6' 1.dr jakaya kikwete(raisi wa jamuhuri ya muungano) 2.dr ghalibu bilali(makamu wa raisi) 3.dr shein(raisi wa jamuhuri ya zanzbar) 4.mizego kayaza pinda(waziri...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Japo hii thread ilitakiwa iende jukwaa la elimu ila nimeona niiweke hapa jukwaa la siasa kutokana na mtajwa hapo juu kuwa mwanasiasa.Nimefika leo Dodoma kuhudhuria mahafali ya mdogo...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ukijaribu kufikiria upya maneno ya Mwl Nyerere 'Mmi ninang'atuka lakin bila CCM madhubuti nchi itayumba' Maswali mengi yanajitokeza. Kwa mfano nini alikusudia Mwl kwa neno CCM madhubuti? Ndio...
0 Reactions
68 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…